Red Carpet uzinduzi wa video ya Popo Lipopo Maisha Basement, Dar
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini, Pamela Daffa 'PAM D' akiwa amejiachie katika Red Carpert.
Pam D akiwa amejiachia na madensa wake.
Mashabiki mbalimbali wakiwa katika Red Carpert.
SAA chache usiku wa jana kabla hajazindua rasmi kichupa chake cha Popo Lipopo, staa wa Bongo Fleva, Pam D aliwapa fursa mashabiki wake kupiga naye picha na wengine kujiachia watakavyo ndani ya Ukumbi wa Maisha Basement uliopo Kijitonyama jijini Dar.
(PICHA: MUSA MATEJA/GPL)