Bukobawadau

AKA FT DIAMOND MAKE ME SING OFFICIAL VIDEO

Muziki wa Tanzania unazidi kupanda chati siku baada ya siku kutokana na kuanza kupenya sehemu mbalimbali duniani na hivyo kuwafanya wasanii wa Tanzania kuanza kupata kolabo na wasanii wakubwa barani Afrika. Jana Ijumaa ya Februari, 12 msanii wa Afrika Kusini, AKA akishirikiana na msanii wa Tanzania, Diamond Platnumz wameachia nyimbo ya pamoja, Make Me Sing
AKA FT DIAMOND MAKE ME SING OFFICIAL VIDEO
Next Post Previous Post
Bukobawadau