Bukobawadau

BIRTHDAY PARTY YA MWANADADA ASIYECHUJA BI ASIMWE KATALAIYA (OMWANA ASIMWE)


Kutoka katika Ukumbi wa Rocky Pub Usiku wa jana Ijumaa feb 26,2016 ilikuwa Birthday Party ya mwanadada asiyechuja Bi Asimwe Ngemela maarufu kama (Omwana) Asimwe Katalaiya (pichani)
Wadau wakiwa wamesimama tayari kwa ajili ya kumwimbia Bi Asimwe ule wimbo maarufu duniani wa 'happy birthday'
Shughuli hiyo ya Birthday ilikuwa ya kistaa full full maujanja kwani akina dada wabishi wa mji huu wenye swagar za kileo, walionekana wakifanya yao (kwatu) huku jukumu kubwa ikiwa ni (Kadanse) kwa kula kunywa na kufurahi kwa pamoja !!
Kama kawaida bila hiyana nasi BUKOBAWADAU MEDIA tunafanya kukusogezea yaliyojiri kupitia picha
Mshereheshaji mahiri Mc Jerry pichani katikati akiongoza shughuli hii
Tukio linalo endelea Ukumbini ni waalikwa kupiga 'selfie' na Birthday Girl Bi Asimwe
Tukio la (Selfie) linakamilika pichani wanaonekana wadau wakiwa na nyoso zenye heri na furaha.
Akajitokeza Mdau mmoja kwa lengo la kumpa suport katika tukio la kukata Keki
Mdau anapata kuliswa kipande cha Keki
Anafuatia Mc Jerry kwa shauku kubwa
Bi Asimwe anamlisha Keki rafiki yake Bibie Rehema Ridhiwane
Utaratibu wa Birthday Girl kuwatembea Keki waalikwa wote ukiendelea
Wanapata ukodak mtu na shost yake
Kipande cha keki kwa Dada yake mpendwa Bi Sima Katalaiya
 BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241
Kwa pozi wadau wakifuatilia kinachojiri Ukumbini

Tukio la Keki kwa waalikwa likiendelea...

Babu kubwa Asimwe Keep it up #All the best
Ndivyo wanavyo onekana waalikwa wakiendelea kupata Keki kutoka kwa Bi Asimwe
Mweshimiwa naye akachongea kupata Keki.
Mkurugenzi wa Rocky Pub Ndg William Rutta ni miongoni mwa waalikwa
Ilikuwa ni shughuli flani hivi amazing
Paul Manyama pichani katikati akijipatia Kipande cha Keki murua kabisa!!

Kwa Ucheche matukio ya Keki kwa waalikwa wote ukumbini
Muonekano wa meza ya Wanadada wabishi Mjini hapa
Taswira mbalimbali Ukumbini
Muendelezo wa matukio mbalimbali Ukumbini
 Anaitwa Bi Japhelina ,Dada wa Bi asimwe akilishwa Keki
 Wakati waalikwa wote wakipiga 'cheer' na Bi Asimwe
Tukio la kutoa zawadi kwa Birthday Girl.
Dada Sima, Dada Mtu akisasambua mkwanja kama sehemu ya zawadi kwa mdogo wake
Muonekana wa Bi Asimwe mbele ya Camera yetu

Picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu
Muendelezo wa matukio yaliyojiri Ukumbini katika Birthday Party ya Bi Asimwe Katalaiya
Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa Bukobawadau Media tunachukua fursa hii kukupongeza sana Bi Asimwe na Mungu akuzidishie afya njema

Next Post Previous Post
Bukobawadau