Bukobawadau

MATUKIO HARUSI YA BW.CHARLES CHAMLINDI NA BI ESTER MUTESIGWA - BUKOBA FEB 5,2016

Mwanzoni Ilikuwa kama utani hivi jamaa alipotunyooshea maelezo kwamba anataka kufunga ndoa Rasmi!Watu tukachukulia simple tukajua kama kawaida jamaa hupenda utani. Mara he! Ijumaa ya tarehe 5 Feb, 2016 yakatimia kweli. Mdau Charles Chamlindi akaamua kuliaga chama la makapera na kupanda gari isiyokuwa na gear ya reverse. Akafunga pingu za maisha na Bi Ester Mutesigwa.Wakaamua kuishi pamoja for the rest of their life.
Pamoja na mambo mengine yote yanayo endelea kuna wakati, unataka mwisho wa siku uwe na kumbukumbu bora ya siku hiyo hapo ndipo Bukobawadau Entertainment Media na ‪#‎NyumbaniStudio‬ tunapohusika kwa uwezo na kipaji cha kupiga picha kwendana na tekinolojia
Mr & Mrs Charles Chamlindi katika picha ya pozi pande za mchangani,mara baada ya tukio hili inafuatiwa kufatiwa na sherehe kubwa iliyokusanya watu kibwena ,sherehe iliyofanyika katika Ukumbi wa  St.Theresa Mjini Bukoba
Maharusi wetu katika pozi moja matata kwa ajili ya picha za kumbukumbu


Raha ya ndoa inapoanza kuchukua kasi
 Kijana Alex Dreva mahiri akiwa tayari kwa ajili ya msafara wa harusi
 Marafiki wa karibu wa Bw. Charles Chamlindi wakiwa katika picha ya pamoja na maharusi
Maharusi wetu katika picha ya pamoja na wapambe wao...
 Marafiki wa Bwana harusi wetu  muda  mchache kabla ya matukio ya ukumbini
 Kamati ya mapokezi ikiwajibika
 Taswira mbalimbali ndani ya Ukumbi wa St. Theresa
Taswira Ukumbini.
 Pichani kushoto ni Elias Mtaki  na kulia ni Mr Mtaki
 Wanadada wakiendelea kufurahi hafla ya Bw na Bibi Charles Chamlindi
Sehemu ya waalikwa ukumbini
 Bi Devotha David na Bi Rehema Ridhiwani ni sehemu ya waalikwa wa harusi hii
 Mdau Paul Manyama pichani
 Bwana Harusi Charles Chamlindi akikabidhi zawadi ya Keki kwa wazazi wa Bibi Harusi
 Bibi Harusi  Ester Mutesigwa akiwa tayari kukabidhi zawadi ya Keki kwa wazazi wa Bwana Harusi
 Baadhi ya waalikwa wakiendelea kufurahia hafla ya kuwapongeza Bwana na Bibi Chamlindi
 Pongezi kwa maharusi zikiendelea
 Sehemu ya waalikwa mara baada ya kuwapongeza maharusi
 Pichani kushoto anaonekana Mrs Optay Henry
 Baadhi ya wafanyakazi wenzake na Bwana Harusi, wakipozi kwa picha, kabla ya kukabidhiwa zawadi ya keki
 Shangwe na furaha za  wafanyakazi wenzake na Bwana Harusi,tukio la kukabidhiwa zawadi ya keki

 Tukio la burudani kutoka kwa marafiki wa Bwana Charles Chamlindi
 Neno kutoka kwa marafiki waliosoma na Bwana Harusi (Mates)

Wanandoa hao tokitoka Kanisani mara baada ya kufunga ndoa
Endelea kuwa nasi kwa matukio ya picha zaidi

BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241
Next Post Previous Post
Bukobawadau