HAPA NA PALE NA CAMERA YETU MARCH 25,2016
Mbele ya Camera yetu ni Mh.Willy Bukobatours Rutta Diwani wa Ishozi akibadilishana mawazo na Mlangira Focas Lutinwa pichani kulia ambaye yupo Nyumbani kwa sasa kwa ajili ya kusherehekea siku kuu ya Pasaka na ndugu na jamaa .
Kushoto ni Bwana Kadogo,mkazi wa Gera akiwa amejumuhika na rafiki ya Mlangira Focas Lutinwa
Mlangira Focas Lutinwa pichani kushoto na kulia kwake ni Bi Jonia John ,Afisa Mtendaji wa Kata ya Gera wakijadili mstakabali wa elimu na maendeleo ya Kata ya Gera
Mlangira Focas Lutinwa ni mdau mkubwa wa Maendeleo endelevu,amekua akijitoa na kushirikiana na wanalugoye katika kuchangia na kusaidia Jamii,pichani anaonekana akijadili jambo na Mh.Willy Bukobatours Rutta,Diwani wa Kata Ishozi.
Meza ya wadau kama walivyokutwa wakifurahia siku maeneo ya Bukoba Club.
Mbele ya Camera yetu ni Mdau Dickson
Mara tunakutana na Meza ya Vijana wapambanaji wanao wakishirisha vyema mjini kwetu
Bwana Gsmart pichani kushoto akifurahia jambo kutoka kwa Kijana Alex (pichani kulia) aliyefika mezani kuwa join kama anavyo onekana akipeana mkono na Nduugu Mzamiru pichani katikati
Kutoka pande za Ngara Nalo pichani kushoto ni Mdau Thomas (Katikilo) Mnyaluganda
BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241