MAZISHI YA MA' AURELIA TEYOREKERERWA KAJUMULO YAFANYIKA MULEBA MACHI 15, 2016
Jeneza lenye mwili wa Marehemu Ma'Aurelia Teyorekererwa Kajumulo,Mama Mzazi wa Mbunge wa Muleba Kusini, Prof. Anna Kajumulo
Tibaijuka, aliyefariki siku ya Alhamisi tarehe 10 machi 2016 mnamo saa 2:30 asubuhi katika hospital ya Kagondo
Pichani ni baadhi ya Watoto wa Marehemu Ma' Aurelia Teyorekererwa Kajumulo
Askofu Mkuu Jimbo Katoliki la Bukoba Mhashamu Askofu Desiderius Rwoma akiwafariji wafiwa
Baadhi ya Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya Muleba
Sehemu ya watu Maalum walioshiriki mazishi hayo yaliofanyika Kijijini Muleba Nyumbani kwa Mbunge wa Muleba Kusini, Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka na kuhudhuriwa na maelfu ya watu.
Watu ni weni kwelikweli katika shuhuli ya mazishi haya ya Marehemu Ma Aurelia Kajumulo
Baadhi ya Waombolezaji pichani
Mzee Adv. Rweyemamu na Ndg Felix Mulokozi wakiendelea kuratibu kinachoendelea
Wadau Magwiji wa Mji wa Muleba
Umati mkubwa wa waomboleza wakishiriki Misa ya mazishi hayo
Misa ya Mazishi ya Marehemu Ma' Aurelia Teyorekererwa Kajumuloimefanyika Kijijini Muleba majira ya saa 9 alasiri Mazishi hayo yameudhuriwa na viongozi wengi wa Dini, Serikali na wa vyama na Ibada ya mazishi imeongozwa na Imeongozwa naAskofu Mkuu Jimbo Katoliki la Bukoba Mhashamu Askofu Desiderius Rwoma pichani katikati
Kushoto ni Mpambanaji Cathbert Basibila akifuatiwa na Katibu mwenezi siasa na itikadi wa CCM Mkoa Kagera Bw.Hamim Mahamoud
Waombolezaji wakiwa na nyuso za huzuni wakati Ibada ikiendelea.
Baadhi ya Wajukuu wa Marehemu Ma'Aurelia Teyorekererwa Kajumulo
Kushoto ni Bwana Bashiru Juma Katera wa Mulela Muleba
AbdulRahym Kabyemela pichani
Kutoka kushoto pichani ni Mzee Robart na Mzee Haruna wakiongoza Ukoo wa 'Abakoba'
Baadhi ya WanaUkoo wa 'Abakoba' Wenyeji wa Mji wa Bukoba walioweza kushiriki mazishi ya Mpendwa wetu Marehemu Ma' Aurelia Teyorekerwa Kajumulo
Baadhi ya waombolezaji wakiendelea kushiriki mazishi hayo.
Mwakilishi wa Rais Yoweri Museveni wa Uganda akitoa salaam za rambirambi kwa Mbunge wa Muleba Kusini,Profesa Anna Tibaijuka,ambaye amefiwa na mama yake.
Salaam za rambirambi kutoka kwa Mkuu wa Shule ya Barbro-johansson ya Jijini Dar es Salaam
Profesa Rwekaza Sypho Mukandala wakati akitoa salaam za rambirambi
Mbunge wa jimbo la Nkenge Balozi Dk. Diodorus Kamala akitoa salaam za rambirambi kwa niaba ya Wabunge wote wa Mkoa wa Kagera
Jumla ya Watoto tisa (9) wakuzaliwa na Ma' Aurelia wakitoa heshima zao za mwisho
Watoto wa Marehemu wakati wanatoa heshima za mwisho kwa Mama yao Mpendwa.
Marehemu Ma'Aurelia alibarikiwa kupata watoto 12 wakiwemo watoto wa kiume wawili tu na wa kike kumi(10),Watoto walio hai ni tisa (9),Marehemu Ma Aurelia ameacha Wajukuu arobaini na sita (46),Vitukuu arobaini na tano (45) na Vilembwe watatu (3)
Wakati wajukuu wa Marehemu Ma Aurelia Teyorekererwa Kajumulo wakiendelea kutoa heshima zao za mwisho
Mara baada ya zoezi la kutoa heshima za mwisho,Askofu Mkuu Jimbo Katoliki la Bukoba Mhashamu Askofu Desiderius Rwoma ananyunyuzia Jeneza maji ya baraka
Kuelekea eneo la kaburi tayari kwa maziko
Umati wa Wanafamilia ,Viongozi wa Kidini na Masister wa Kikatoliki wakishiriki mazishi
Sala ya Mazishi inaonozwa na Mhashamu Askofu Desiderius Rwoma
Utaratibu wa mazishi chini ya Kampuni maalum ya huduma za mazishi kutoka nchini Uganda
Jeneza lenye mwili wa Marehemu Ma' Aurelia Teyorekerwa Kajumulo likishushwa kaburini kwa mashine maalum
Simanzi kubwa kwa watoto wa Marehemu Ma' Aurelia Teyorekerwa Kajumulo wakati Jeneza likishushwa Kaburini
Tayari Jeneza lipo kaburini
Mhashamu Askofu Desiderius Rwoma akiinua msalaba juu
Utaratibu wa kuweka Mashada ya Maua umeongozwa na Mhashamu Askofu Desiderius Rwoma
Hatua ya kuweka mashada ya maua ikiendelea kwa Mapadre na kufuatiwa na Watoto wa marehemu.
Matukio zaidi ya picha 200 yanapatikana katika ukurasa wetu wa faceboo.
Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka akiendelea kupokea mkono wa pole kutoka kwa Waombolezaji
Muendelezo wa matukio mbalimbali Mama Anna Kajumulo Tibaijuka akipokea rambirambi
Mbunge wa Muleba Kusini, Mama Anna Kajumulo Tibaijuka akipewa pole na Mapadre
Mkono wa pole na ubani kutoka kwa Viongozi wote wa Dini
Mkono wa pole kutoka kwa Mzee Robart Kiongozi wa msafala wa 'Abakoba'
Kobas mara baada ya kushiriki mazishi hayo
BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241
Timu nzima ya Bukobawadau tunatoa pole sana kwa ndugu wa familia na watoto wa Marehemu kuondokewa na mama mzazi mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi Amen!!