Bukobawadau

MAZISHI YA MAREHEMU BIBI JOSEPHINE SIMON YALIYOFANYIKA MJINI BUKOBA MARCHI 22,2016 !

Muonekano wa Jeneza lenye mwili wa Marehemu Bibi Josephine K.Simon aliye fariki Machi 18, 2016 Jijini Dar Salaam baada ya kusumbuliwa na malaria na shughuli ya mazishi yake imefanyika siku ya Jumanne Machi 22,2016 Nyumbani kwake Forodhani Kashura Mjini Bukoba.
 Pichani ni watoto wa kuzaliwa na Marehemu Bibi Josephine K.Simon
 Mwalimu George pichani kushoto mmoja kati ya Watoto wa Marehemu Bibi Josephine K.Simon akifalijiwa
 Muda mchache kabla ya shuhuli ya mazishi ya Marehemu Bibi Josephine K.Simon
 Baadhi ya wajukuu wa Marehemu Bibi Josephine K.Simon wakiwa tayari kushiriki Ibada ya mazishi ya Bibi yao iliyofanyika siku ya Jumanne Machi 22,2016 Nyumbani kwa marehemu Kashura Bukoba
Bi Beatrice Muyeya aliyeongozana na familia ya marehemu katika safari  kutokea Jijini Dar
 Baadhi ya wafiwa wakiwa na nyuso za huzuni
 Wakati Jeneza lenye mwili wa Marehemu Bibi Josephine K.Simon likitolewa ndani
 Mwanzo wa Ibada ya Mazishi ya marehemu Bibi Josephine K.Simon
Wanakwaya wakiimba moja ya nyimbo za kumtukuza Mungu wakati wa Ibada ya mazishi
 Kushoto pichani ni Bwana Johansen Kasigwa akifuatiwa na Kaka yake George Matungwa
 Kushoto ni Mzee Kashim ambaye ni rafiki mkubwa wa familia ya Marehemu Bibi Josephine Simon
 Neno la Bwana likisomwa na Mjukuu wa Marehemu
 Endelea kuwa nasi kwa mtiririko mzima wa matukio ya picha  120 zaidi
 Mengineyo kutoka eneo la tukio.
 Taswira kibandani wakati wa Ibada ya mazishi.
 Waombolezaji wakiendelea kushiriki Ibada ya mazishi ya

 Mzee Msafiri akishiriki Ibada ya mazishi ya Bibi Josephine K.Simon
 Baba Paroko akiendelea kuongoza Misa ya Mazishi ya Bibi Josephine K.Simon
 Baadhi ya wanakwaya wakati Ibada ikiendelea
 Kutoka jijini Dar es Salaam pichani ni Bwana Edward aliye ongozana na wafiwa .
 Mzee Mtafungwa pichani kulia
 Sehemu ya waombolezaji wakiwa wamesambaa katika makundi mbalimbali msibani hapo.
 Baadhi ya waombolezaji waliohudhuria shughuli ya mazishi ya Bibi Josephine K.Simon
 Kiongozi wa kwaya ya BCC Bukoba
 Mdau Abdulmalick Sudi Tibabimale
 Baadhi ya Waombolezaji walioshiriki mazishi hayo
 Wanachama wa Bukoba Veterans wakiwa wamehudhuria shughuli ya mazishi hayo
Kushoto anaonekana Ndugu Abdulmalick Sudi Tibabimale na kulia pichani ni Bwana Rahym Kabyemela wakishiriki shughuli ya mazishi ya Marehemu Bibi yetu Mpendwa Josephine K.Simon
 Jeneza lenye mwili wa Bibi Josephine K.Simon likiwa tayari eneo la Makaburi
Katika hali ya huzini  pichani anaonekana Bwana Samuel Saimon ambaye ndiye kitinda mimba wa Marehemu Bibi Josephine K.Simon
 Paroko akionoza misa ya Kaburini
 Mzee Robart Bahati Simon ambaye ndiye mtoto mkubwa wa Marehemu Bibi Bibi Josephine K.Simon akiwa eneo la kaburi.
 Shughuli ya mazishi ya mpendwa wetu Bibi Josephine K.Simon ikiendelea
Baba Paroko akiweka shada la maua kwenye Kaburi la Marehemu Bibi Josephine K.Simon
 Baadhi ya Watoto wa Kike wa Marehemu Bibi Josephine K.Simon wakiweka shada la maua.
 Bi Euene Simon na Bi Eva Simon ambao ni watoto wa Marehemu Bibi Josephine K.Simon
Mwakilishi wa wake wa familia ya marehemu akiweka shada la maua
 Mzee Robart Bahati akiweka shada la Maua kwenye Kaburi la mama yake mpendwa
 Bi Lesper George ambaye ni mjukuu wa Marehemu Bibi Josephine K.Simon 
  Bi Lesper George akiweka Shada la maua kwenye kaburi la marehemu Bibi yake mpendwa
Baadhi ya Wajukuu wa Marehemu wakiwa tayari kuweka Mishumaa kwenye kaburi la Bibi yao
BUKOBAWADAU MEDIA:Tunatoa Pole kwa familia ya Marehemu Bibi Josephine K.Simon ,tunatoa pole kwa wanaukoo wa 'Bakoba wote' ..... Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema peponi.
 BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241

........Endelea kuwa nasi kwa mtiririko mzima wa matukio ya picha  120 zaidi
Next Post Previous Post
Bukobawadau