SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

04 March 2016

TANZIA:JOSEPH CLEMENCE RWEGASIRA

Aliyekuwa Mwenyekiti wa vyama vya wafanyakazi JUWATA, Mkuu wa Mkoa wa kwanza wa Pwani na baadaye balozi wa Tanzania nchini Zambia halafu akawa Waziri wa viwanda na Biashara, na baadaye waziri wa Kazi na mwisho Waziri wa mambo ya nchi za nje na mbunge wa Nkenge mpaka mwaka 2000, Ndugu Joseph Clemence Rwegasira amefariki dunia leo saa kumi alfajiri.Mzee Rwegasira alizaliwa tarehe 21/03/1935.

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU