Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Dkt. Carina Wangwe akifafanua jambo kwa wajumbe wa bodi wa shirika hilo (hawapo
pichani ) mara baada ya kuteuliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,
Bunge, Ajira na Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama leo tarehe 03 Machi, 2016.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Wenye Ulemavu), Jenista
Mhagama akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya
Jamii (NSSF) Dkt. Carina Wangwe mara
baada baada yakuteuliwa leo tarehe 03 Machi, 2016 (Katikati) ni Katibu Mkuu wa
Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi na Ajira), Eric Shitindi.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Wenye Ulemavu), Jenista
Mhagama akiendesha kikao cha Menejimenti ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF leo
tarehe 03 Machi, 2016 wakati alipomteua Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Dkt. Carina Wangwe.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comment:
Post a Comment