Bukobawadau

YALIYOJIRI MCHANA WA PASAKA MJINI BUKOBA

Usiku wa leo ikiwa ni kumbukumbu nyingine ya Pasaka kwa Wakazi wa Bukoba ,Wale Wasanii wanaounda kundi la Navy Kenzo, Nahreel na Aika watakisanua ndani ya Club Linas kuanzia saa mbili usiku
Navy Kenzo wakiwasili Uwanja ya Ndege Mjini Bukoba mchana wa leo Jumapili march 27,2016
 Baada ya kutamba Mwaka Jana Africa nzima na wimbo unaoitwa ‘Game’, Kundi la Navy Kenzo limeanza mwaka huu kwa kasi kubwa na hii ni baada ya kutoa wimbo mpya pamoja na video yake unaitwa “Kamatia” , Wimbo ambao ni gumzo sehemu mbali mbali mjini na Vijijini na na unapata chat kwa kuonyeshwa kwenye TV za kimataifa na Usiku wa leo watakuwa Live ndani ya Kisima cha Burudani Linas Night Club  Bukoba aka 'Omumbaga Yabantu'
Mambo ya Selfie anaonekana Msanii Aika  kutokea kundi la Navy Kenzo ambalo linaundwa na yeye na mwenzake  Nahreel ambao ni Moja ya Couple maarufu katika tasnia ya Bongo Fleva
#‎UsikoseUsikuwaKamataChini‬ kamatia chini , kamata chini ‪#‎kamatiachini‬ !!!
 Bukobawadau Media tunawatakia wadau wote na Wakristo nchini heri ya Pasaka,Ikiwa wameungana na wenzao duniani kusherehekea Sikukuu hii ya kukumbuka ufufuko wa Yesu Kristo zaidi ya miaka 2,000 iliyopita.(Furahia matukio ya picha yaliyojiri mchana wa leo Mjini Bukoba)
Hapa ni  daraja la bukoba Club,Unaonekana mbanano wa watu na Magari

 Watoto kama kawaida wakishow Love mbele ya Camera ya Bukobawadau
Mdau pichani akifurahi Jumapili ya Pasaka na watoto
 Pichani ni Mdau wetu Emanuel akiwa na wanae katika kuwatembeza sehemu mbalimbali
 Mdau Mr Emanuel pichani kulia akiwa na kijana wake
 Hekaheka barabara ya forodhani
 Bukobawadau Media tunawatakia wadau wote na Wakristo nchini heri ya Pasaka,Ikiwa wameungana na wenzao duniani kusherehekea Sikukuu hii ya kukumbuka ufufuko wa Yesu Kristo zaidi ya miaka 2,000 iliyopita.(Furahia matukio ya picha yaliyojiri mchana wa leo Mjini Bukoba)
 Disco  vumbi  likitifuka maeneo ya fukweni
 Embaga Yabantu

 Biashara ya samaki aina ya Sato ikiendelea mapema ya leo Jumapili March 27,2016
Soko la samaki aina ya Sato
 Viwanja vya Bukoba Club Mapema ya leo March 27,2016
 Eneo la michezo ya watoto lililopo jirani na Kiroyera Beach
 Taswira mbalimbali pembezoni mwa ziwa Victoria leo Jumapili ya pasaka march 27,2016
 Watoto wakiendelea kuogelea fukweni (Spice Beach)
 Wingi wa watu fukweni mwa ziwa Victoria
BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241
 Wadau wakishow Love mbele ya Camera yetu leo

 Yote juu ya yote ni Usiku wa Kamatia Chini,baada ya kutamba Mwaka Jana Africa nzima na wimbo unaoitwa ‘Game’, Kundi la Navy Kenzo limeanza mwaka huu kwa kasi kubwa na hii ni baada ya kutoa wimbo mpya pamoja na video yake unaitwa “Kamatia” , Wimbo ambao ni gumzo sehemu mbali mbali mjini na Vijijini na na unapata chat kwa kuonyeshwa kwenye TV za kimataifa na Usiku wa leo watakuwa Live ndani ya Kisima cha Burudani Linas Night Club Bukoba aka 'Omumbaga Yabantu' ‪#‎UsikoseUsikuwaKamataChini‬ kamatia chini , kamata chini ‪#‎kamatiachini‬ !!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau