Bukobawadau

ZIARA YA BALOZI DR KAMALA KATIKA KATA YA GERA MARCH 3,2016

Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala Mbunge wa Jimbo la Nkenge (pichani katikati) akipokea zawadi kutoka kwa Vikundi vya Akina mama wa Kata ya Gera Wilayani Missenyi katika ziara yake inayoendelea jimboni mwake.
 Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala akipokea zawadi kutoka
Vikundi vya akina mama wa Kata ya Gera  Wilayani Missenyi
 Baadhi ya Wakazi wa Gera wakifuatilia Mkutano wa Mbunge wao Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala uliofanyika Jana March 3,2016 katika shule ya Msingi Kashaka
Mlangira mkazi wa kata ya Gera akitolea jambo ufafanuzi
Taswira ukumbini Mkutano ukiendelea.
 Muonekano wa Majengo ya Shule ya Msingi Gera
 Mmoja wa mwalimu wa Shule ya Msingi Kashaka-Gera
Mbunge Balozi Dr.Kamala akapata furasa kuzindua umeme katika shule hiyo ikiya yupo katika ziara ya kututana na Wananchi kwa lengo la kuzitatua Kero mbalimbali zinazowakabili
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala akichukua mkasi kwa ajili ya kukata utepe.
 Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala akikata Utepe kuashiria uzinduzi wa Umeme katika shule ya Msingi Kashaka  utakaotumika kwa ajili ya maendeleo ya Shule hiyo
Kushoto ni Ndugu Henry Bitegeko, Diwani wa Kata Gera akifurahia uzinduzi wa Umeme huo.
 Balozi akiakana na Wananchi wa Gera baada ya kumaliza kuongea na kuahidi kutatua kero mbalimbali ikiwa ni katika kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi.
Next Post Previous Post
Bukobawadau