Bukobawadau

BREAKING NEWS:ABIRIA WANUSURIKA AJALI YA NDEGE MJINI BUKOBA LEO

BREAKING NEWS: ABIRIA WANUSURIKA AJALI YA NDEGE MJINI BUKOBA HII LEO
Watu kadhaa wamenusurika baada ya ndege ya Shirika la Ndege la Auric Air waliyokuwa wakisafiria kupata ajali katika Uwanja wa Ndege wa Manispaa Bukoba baada ya ndege hiyo kupata pancha tairi ya nyuma ya upande wa kulia ilipokua inatua.
 Kwa umahiri wa Rubani amaweza kuicontrol kama inavyo onekana pichani ikiwa pembezoni mwa Uwanja.
 Ndege hiyo ilikuwa ikisafiri kutoka Jijini Mwanza ,tukio limetokea majira ya saa nne asuhuhi ya leo Jumamosi April 30,2016
‪#‎BUKOBAWADAU‬ MEDIA
Next Post Previous Post
Bukobawadau