Bukobawadau

JE WAJUA?

#Munyaluganda
Je ulijua kuwa dada aliyetokea kwenye episode mpya ya Empire ni Mtanzania?! Anaitwa Koku Gonza, anakaa Chicago. Ni mwimbaji na anapiga piano na gitaa pia... Katika Empire anaonekana anamfundisha @yazzthegreatest kucheza piano 
Shoutout to @kokugonza I see you doin big things!! I'm proud #Repost from @wakazimusic #Bukobawadu Media Cc @Mc Baraka 
Next Post Previous Post
Bukobawadau