Bukobawadau

Lulu Diva: Video za Bongo usipoangalia imekula kwako

LULU DIVA (6)
Video Queen na msanii wa filamu Bongo, Lulu Abbasi 'Lulu Diva' akiwa katika pozi wakati wa mahojiano na Global Tv Online.


Vidoeo ya Mirror ft Baraka Da Prince - 'Naogopa'  aliyocheza Lulu Diva kama Video Queen.
LULU DIVA (3)
Mhariri wa Ijumaa Wikienda, Sifael Paul (kulia) akiwa katika pozi na Lulu Diva.
LULU DIVA (2)
...Wakiagana.
LULU DIVA (11)
...Akifanya yake.
LULU DIVA (1)  LULU DIVA (12) LULU DIVA (13) LULU DIVA (16)
Lulu Diva akiwa katika pozi mabalimbali na wafanyakazi wa Global Publishers.


MUUZA nyago maarufu kwenye video za Kibongo, Lulu Abbas ‘Lulu la Diva’ amefungukia malipo ya wauza nyago kwenye video kuwa upande wake yupo makini kwani ukizubaa tu imekula kwako.
Akichonga na Global TV Online kupitia kipindi cha Exclusive, Lulu Diva anayebamba kwenye video kibao za Bongo ikiwemo, Naogopa ya Mirror akiwa na Barakah Da Prince alisema kuwa ni kweli wapo mavideo queen wanaopokea kipato kidogo lakini kwa upande wake haiko hivyo.
“Video nyingi nazikataa kufanya kutokana na maslahi kuwa madogo, unajua wapo ambao wanalipwa kipato kidogo lakini kwangu noo,” alisema Lulu.
PICHA NA GLOBAL TV ONLINE
Next Post Previous Post
Bukobawadau