
Katika picha ni shughuli ya Mazishi ya Marehemu Alistides Selestin, yaliyofanyika Kijijini Kihumuro Nshamba Wilayani Muleba mwishoni mwa Juma lililopita na kuhudhurio na watu wengi.

Shughuli ya mazishi hayo yameongozwa na Padre Malisel Buberwa wa Parokia ya Rubya

Umati wa Waombolezaji wakiendelea kushiriki Shughuli ya Ibada ya Mazishi ya Marehemu Alistides Selestin yaliyofanyika siku ya Jumamosi April 2,2016 Kijijini Kihumuro Nshamba


Hivi ndivyo hali ilivyokuwa katika shughuli ya kumuaga na maziko ya Marehemu Alistides

Sehemu ya wanafamilia wakiendelea kushiriki Ibada ya mazishi ya mpendwa wao Marehemu Alistides Selestin yaliyofanyika siku ya Jumamosi April 2,2016 Kijijini Kihumuro Nshamba

Umati wa waombolezaji wakati Ibada ikiendelea.

Jeneza lenye mwili wa Marehemu Alistides Selestin likiwa ukumbini wakati Misa inaendelea

Hakika kila mtu anaonekana mwenye huzuni mkubwa kufuatia msiba huu

Watu kutoka Maeneo ya Mijini na Vijijini wameweza kuhudhuria shughuli ya mazishi hayo

Hakika watu ni wengi kweli kweli kama inavyojionyesha kupitia picha

Wakati neno la Bwana likisomwa


Waumini wa Kikatoliki wakiendelea kushiriki Ibada ya mazishi

Muendelezo wa matukio ya picha yaliyojiri katika Shughuli ya mazishi ya Marehemu Alistides Selestin yaliyofanyika siku ya Jumamosi April 2,2016 Kijijini kwao Kihumuro Nshamba


Padre Malisel Buberwa akiendelea kuongoza Ibada

Mazishi ya Marehemu Alistides Selestin yaliyofanyika siku ya Jumamosi April 2,2016 Kijijini kwao Kihumuro Nshamba

Ni simanzi na huzini kwa rafiki wa marehemu Alistides Selestin pichani


Wanakwaya wakiimba nyimbo za kumsifu Bwana

Muendelezo wa matukio zaidi ya picha yanapatikana katika ukurasa wetu wa facebook

Waombolezi katika Shughuli ya mazishi ya Marehemu Alistides Selestin yaliyofanyika siku ya Jumamosi April 2,2016 Kijijini kwao Kihumuro Nshamba

Umati wa waombolezaji wakishiri Ibada hiyo iliyofanyika siku ya Jumamosi April 2,2016 Kijijini Kihumuro Nshamba


Baadhi ya Waombolezaji wakiendelea kushiriki Shughuli ya Ibada ya mazishi ya Alistides Selestin yaliyofanyika siku ya Jumamosi April 2,2016 Kijijini Kihumuro Nshamba


Mdau kutoka Kamachumu akiwasili kushiriki shughuli ya mazishi hayo

Wanafamilia wakitoa heshima za mwisho kuuaga mwili wa Mpendwa wao


Waombolezaji wakiendelea na zoezi hili la kutoa heshima za mwisho


Kaka Deo ambaye akiongozana na Mdogo wake Lutta kutoa heshima zao za mwisho

Zoezi la kutoa heshima za mwisho likiendelea.

Utaratibu wa kutoa heshima za mwisho ukiwa unaendelea

Mama mzazi wa Marehemu Marehemu Alistides Selestin akitoa heshima zake za mwisho



Mzee Lwakatare wa Nshamba Muleba

Taswira mbalimbali msibani hapo.


Poleni sana wafiwa Timu ya Bukobawadau Media inawaombea kuwa na moyo na uvumilivu na subra hususani katika kipindi hichi kigumu.

Ndugu wa familia wakishiriki mazishi ya Mpendwa wao Marehemu Alistides Selestin yaliyofanyika siku ya Jumamosi April 2,2016 Kijijini Kihumuro Nshamba

Eneo la Makaburi yanaonekana makundi mbalimbali ya watu katika kushiriki mazishi ya Marehemu Alistides Selestin yaliyofanyika siku ya Jumamosi April 2,2016 Kijijini kwao Kihumuro Nshamba


'Abanyansi' walioweza kushiriki Mashishi ya Marehemu Alistides Selestin wakiwa katika hali ya sintofahamu.

Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Alistides Selestin likiwa tayari eneo la Makaburi

Misa ikiendelea eneo la kaburi

R.I.P mpendwa Kaka yetu Marehemu Alistides Selestin

Padre Malisel Buberwa akinyunyuzia maji ya uzima kwenye kaburi


Waombolezaji wakishiriki kuweka Udongo kwenye kaburi la Marehemu Alistides Selestin

Zoezi la kuweka Udongo kwenye kaburi likiendelea

Mjomba wa Marehemu Alistides Selestin akiweka shada la maua


Shangazi yake Marehemu Alistides Selestin mara baada ya kuweka shada la maua

Utaratibu wa kuweka mashada ya maua ukiendelea kwa wanafamilia

Pichani anaonekana Mtoto pekee wa Marehemu Alistides Selestin,Rwekaza Alistides.

Pichani wanaokana Ndugu Lutta na Ndugu Deo ambao ni kaka wa Marehemu Alistides Selestin wakiweka shada la maua

Muonekano wa nyumba ya Milele ya Marehemu Alistides Selestin

Katika picha ya pamoja ni watoto 9 kati ya 10 wa kuzaliwa katika familia ya Marehemu Mzee Selestin wakiwa na mama yao Mzazi Ma' Paulina pichani kulia (waliokaa)

Wanafamilia katika picha ya pamoja

Kama ilivyo mila na desturi kwa Wahaya ule Utaratibu wa Vyama vya kusaidiana ukiendelea kwa kuleta Kuni na ndizi .

Hawa ni baadhi ya Wakwe wa familia iliyopatwa na msiba huu


Mengineyo mara baada ya kumaliza Shughuli ya mazishi ya mpendwa wetu Marehemu Alistides Selestin

Mtu na Mkwe wake wakibadilishana mawazo mara baada ya Shughuli ya mazishi

BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kutumia fursa hii kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241

Taswira mbalimbali eneo la tukio shughuli ya mazishi ya Marehemu Alistides Selestin yaliyofanyika siku ya Jumamosi April 2,2016 Kijijini kwao Kihumuro Nshamba

Bukobawadau Media tunatoa pole kwa wafiwa wote na mungu ailaze mahala pema peponi Roho ya Marehemu Alistides Selestin AmeeN!!


Mwisho Wasifu wa Marehemu ukisomwa na Mdogo wake Justus Mwemezi.