Bukobawadau

MAMIA WASHIRIKI MAZISHI YA MZEE LEOPOLD KAYUNGA

Jeneza lenye mwili wa Marehemu Mzee Leonald Kayunga likiwa limebebwa ,pichani anaonekana Anthony Kayunga ambaye ni mtoto wa Marehemu Mzee Kayunga akiwa amebeba picha ya Baba yake
Mamia ya watu wameweza kushiriki mazishi ya Marehemu Leopold Kayunga wa Nyamkazi Bukoba, yaliyofanyika jioni ya jana Jumamosi Apr 23, Nyumbani kwake kijijini Nyabihanga-Kyaka Wilayani Missenyi
 Sehemu ya waombolezaji waliofika kushiriki shughuli ya maziko haya.
 Mzee Baganda pichani kushoto ambaye ndiye mwenyekiti wa kamati ya mazishi haya, akiteta jambo na Bwana Alanus Kashalaba ambaye ni rafiki wa familia ya Marehemu Leopold Kayunga
 Mjane wa Marehemu Leopold Kayunga pichani kushoto, na kulia kabisa ni Bw.Ruga Baruti mkwe wa familia ya Marehemu Leopold Kayunga
 Jeneza lenye mwili wa Marehemu Leopold Kayunga likiwa limebewa kuelekea eneo la Kaburi
 Padre akiongoza Ibada ya maziko eneo la kaburi

 Jeneza lenye mwili wa Marehemu Leopold Kayunga likiingizwa kaburini


‪#‎Bukobawadau‬ Media tunaungana na familia ya Marehemu Mzee Leopold Kayunga katika kipindi hiki kigumu cha majonzi,Tuige yale mazuri yote aliyotuachia mzee wetu mpendwa
Jina la Mungu lihimidiwe!!

MATUKIO YA PICHA YANAENDELEA...
Next Post Previous Post
Bukobawadau