SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

19 April 2016

RAIS MAGUFULI AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM

Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Magufuli leo amemsimamisha kazi rasmi mkurugenzi wa jiji la Dar es Salaam Wilson Kabwe kutokana na kusaini mikataba yenye harufu ya rushwa.Kusimamishwa kwa Kabwe kunatokana na taarifa ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bwana Paul C. Makonda kuwa mkurugenzi wa jiji bwana Kabwe amekuwa anasaini mikataba yenye harufu ya rushwa.

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU