Bukobawadau

Kilele cha wiki ya utamaduni Karagwe May 21, 2016

 MwanaKaragwe na Mtanzania kwa ujumla unakaribishwa kuhudhuria siku hii muhimu. Njoo ujionee utamaduni wako. Njoo uijue historia tajiri ya Karagwe.
Unakaribishwa pia kwenye majadiliano ya kihistoria kati wa wazee wa Karagwe na wataalamu wa Anthropolojia.
Usikose kuangalia malikale za Karagwe, michezo na ngoma mbali mbali. Ni tarehe 20 na 21 May Mwaka huu.

Mjadala ni.Bugene Sekondari,tarehe 20 May,  Maonesho na michezo ni trh 21May Nyakahanga shule ya msingi.Njoo uwe sehemu ya historia ya Karagwe.
Mawasiliamo
Frontline Ruhinda 0757 026 908
Bullet Ruhinda 0715 030 242
Next Post Previous Post
Bukobawadau