Bukobawadau

#‎TAARIFA‬ YA MSIBA WA MZEE AUGUSTINE RUTABANDAMA KALEMERA

#‎TAARIFA‬ YA MSIBA:Mama Mary KALIKAWE wa Kiroyera Tours na mdogo wake Rose Kalemera waanasikitika kutangaza kifo cha baba yao mpendwa Mzee Augustine Rutabandama Kalemera kilichotokea Ijumaa tarehe Tarehe 27 May 2016 nyumbani kwake kijijini Kizigo Kamachu wilaya ya Mileba mkoani Kagera.
Mazishi yatafanyika Alhamisi tarehe 2 June 2016 hapo hapo nyumbani kwake. Habari ziwafikie watoto wake wote walioko Dar es salaam Anthony Kalemera,innocent Kalemera, Sylvia, Godfrey Kalemera, uingereza Redempta Kalemera, Laurencia na Byera Restituta Kalemera Marekani Ediltruda na honorata pia mdogo wake Praxeda Evelina.
Viongozi wa kanisa Katoliki mapadre na masista wote wa Jimbo la Bukoba, wanashirika wa vyama vya kitume, wakwe, wajukuu ndugu, marafiki na wote wanaohusika na msiba huu.
Next Post Previous Post
Bukobawadau