Bukobawadau

UMATI WASHIRIKI MAZISHI YA OMULANGIRA DOMICIAN KYAI KIJIJINI KIKUKWE - KANYIGO


Ndivo linavyo onekana Jeneza lenye mwili wa Marehemu Omulangira Domician Kyai
Baadhi ya wajukuu  wakiendelea kutekeleza mira na desturi
Umati wa waombolezaji washiriki shughuli ya maziko ya Omulangira Domician Kyai yaliyofanyika jioni ya jana Jumatatu May 23,huko kijijini Kikukwe Kanyigo Wilayani Missenyi


Umati wa waombolezaji wakishiriki Ibada ya mazishi haya
Sehemu ya wanafamilia wakati Ibada ikiendelea


Hakika watu ni wengi kweli kweli katika shughuli ya mazishi haya
Padre akiendelea kutoa Somo

Taswira mbambali msibani hapa Ibada ya  ya maziko ikiendeleaKushoto anaonekana Bro Ernest Mushobozi
Wanaonekana waombolezaji muda mchache kabla ya Ibada ya masishi
Mlangira Emmanuel pichani kushoto.
Kutoka kushoto ni Bwana Afidhu Karugira (Nkurukumbi) katikati ni Mlangira Justuce Lugaibura na kulia kwake ni rafiki yake wa karibu Bwana Rahym Kabyemela

Wanaonekana waombolezaji waliohudhuria msiba huu
Pichani ni watoto watatu kati ya 11 wa kuzaliwa na Marehemu Omulangira Domician Kyai
Misa ya mazishi ya Marehemu Omulangira Domician Kyai ikiendelea


Kulia ni Mama Mjane wa Marehemu Omulangira Domician Kyai


Baadhi ya waombolezaji.
Mdau Moha Nyundo pichani
Waombolezaji kutoka maeneo mbalimbali
Pichani kushoto ni Bwana Joha RugengeTaswira mbalimbali  msibani hapa kupitia Bukobawadau Blog Media
Mulangira Juctuce Rugaibula pichani katikati akiwa na wenzake waliofika kumfariji kwa kuondokewa na Baba yake Mdogo
Sehemu ya Mapadre walioshiriki kuongoza Ibada ya maziko hayo

Padre akiendelea kutoa mahubiri wakati wa Ibada ya mazishi ya marehemu Omulangira Domicia Kyai


Wanafamilia wakifuatilia mahuburi yanayoendelea
Bwana Bashir Kabyemela rafiki wa familia

Kijana Rama Issa mwenzake Delius RugaibulaUtaratibu wa kupata komunio ukiendelea
Sehemu ya watoto wa kuzaliwa na Marehemu Omulangira Domician Kyai
Waumini wa Kikatoliki wakiwa wamesima kwa ajili yakupata komunio

Simanzi kubwa kwa ndugu na jamaa wakati wa kutoa hesha za mwishoZoezi la kutoa heshima za mwisho likiwa linaendelea
Waombolezaji na wanafamilia wakitoa heshima zao za mwisho
Vilio na machozi kwa wanafamilia wakati wakitoa heshima zao za mwisho kwa mpendwa wao.


Eneo la kaburi Misa ikiendelea


Mmoja wa watoto wa Marehemu akiweka shada la maua

Waombolezaji wakazi wa Kijijini Kikukwe wakifuatilia kinachoendele
Haji Abbas akiwa ameweza kushiriki mazishi ya rafiki Omulangira Domecian Kyai
Ndugu Edwin pichani kushoto akibadilisha na wanafamilia wenzake
Ni muda wa watu wote kupata huduma ya Chakula msibani hapa
Huduma ya Chakula ikiendelea kutolewa kwa waombolezaji
Mdau Raymond (Chelsea akipata huduma ya Chakula
Wadau wakibadilishai mawazo mara baada ya shughuli ya mazishi ya Mlangira Domicia Kyai


Muonekao wa eneo la maegesho


MATUKIO ZAIDI YA PICHA YANAENDELEA.....
Next Post Previous Post
Bukobawadau