Bukobawadau

USALITI NI KAZI NZITO MNO !

 Unatakiwa kufuta meseji, kuweka password kwenye simu, kutumia gharama nyingi za kuandaa venue ya kukutania na mchepuko ikiwemo na kumhudumia (kwa wanaume), kufuta meseji katika mitandao ya kijamii yote, wasiwasi mwingi ukisahau simu nyumbuni, kuandaa uongo mwingi wa kumueleza Mpenzi wako na kuishi kwa mashaka huku ukijificha ficha na mwizi mwenzako!
Ni kazi nzito MNO katika Dunia hii yenye uhuru, ni bora tu kuwa muaminifu kwa akupendae!
It's too much for you, Rather Be loyal...!!!!
True or false?
Next Post Previous Post
Bukobawadau