Bukobawadau

MATUKIO YA PICHA SHUGHULI YA MATANGA MSIBA WA OMULANGIRA DOMICIAN KYAI

Muonekano wa Kaburi lenye Mwili wa Marehemu
 Bwana Honest Mushobozi pichani wakata akiwasili kushiliki Misa ya Matanga ya
 Fr .Medericus Kyaruzi wa Parokia ya Mugana  akiongoza Misa ya Shukrani ya Omulangira Domician Kyai katika shughuli ya matanga iliyofanyika nyumbani kwake kijijini Kikukwe Kanyigo
 Baadhi ya watoto wa Marehemu Omulangira Domician Kyai wakishirika Ibada hiyo kwa ajili ya Baba yao mpendwa
Fr .Medericus Kyaruzi akiendelea kuongoza misa hiyo
 Shughuli ya Ibada ikiendelea
 Mama Justuce Lugaibula akitoa sadaka katika misa ya matanga ya Omulangira Domician Kyai
Utaratibu wa kutoa sadaka ukiendea
 Ndugu Rutta mmoja kati ya watoto wa Marehemu Omulangira Domician Kyai akielekea kutoa sadaka.
 Sehemu ya watoto wa Marehemu Omulangira Domician Kyai wakiendelea na Ibada
 Sehemu ya ndugu wa familia hii wakiendelea kushiriki Misa maalum kwa ajili ya Matanga.
Omulangira Domician Kyai pichani kushoto na wanae ,kulia ni Mlangira Justuce Lugaibula
 Bi Anna Lugaibula akisiriki Misa maalum kwa ajili ya matanga ya Omulangira Domician Kyai
Kijana Delius Lugaibaula akiwa na swaiba yaka Joha Rugenge.
 Bwana Rama Issa pichani kushoto, katikati ni kijana Delius na kulia ni Rais wa Kanda ya ziwa  mpambanaji Joha Rugenge
 Mama Justuce katika picha na Mkwe wake Mrs Desdry Rutta
 Mmoja wa ndugu wa familia hii wakiendelea kushiriki Misa maalum kwa ajili ya Matanga.
 Mtoto mkubwa kwa kuzaliwa na Marehemu Omulangira Domician Kyai
Muendelezo wa matukio ya picha yaliyojiri katika katika shughuli ya matanga ya  Omulangira Domician Kyai iliyofanyika nyumbani kwake kijijini Kikukwe Kanyigo juma lililopita
 Mtoto Mkubwa wa Marehemu Omulangira Domician Kyai akikabidhi baasha yenye michango ya familia kwa ajili ya kusupport Ujenzi wa Kanisa Kikukwe Kanyigo
 Neno la shukrani kutoka katika familia pamoja na michango mbalimbali kwa ajili ya ujenzi wa kanisa unaoendelea kijijini Kikukwe Kanyigo
 Burudani ya kikundi cha ngoma kutoka Ruzinga iliyoandaliwa na wajukuu wa Marehemu Omulangira Domician Kyai.
 Baadhi ya wajukuu wa Omulangira Domician Kyai wakifuatilia kinachojiri
 Mdau Edwin Damacen ambaye ni mjuu wa Marehemu Omulangira Domician Kyai akifanya kuchukua matukio kwa ajili ya kumbukumbu
WanaRuzinga wakiendelea kutoa burudani katika sughuli hii ya kuanua Matanga msiba wa mpendwa wetu Omulangira Domician Kyai
  Wajukuu wa Marehemu Omulangira Domician Kyai wakiendelea kuigiza 'OKUSILIBYA' kwa kuonyesha bidhaa mbalimbali alizopendelea kutumia Babu yao
 Kikwetu kwetu maswala ya kimila yakiendelea kuchukua kasi
 Ng'ombe maalum aliyeandaliwa na wajukuu katika kutekeleza maswala ya mila na desturi
 Wadau mbalimbali waliosiriki katika shuguli hii ya Matanga ya Omulangira Domician Kyai
 Muendelezo wa matukio yaliyojiri katika shughuli hii ya Matanga ya Omulangira Domician Kyai iliyofanyika mwishoni mwa juma lililopita.
 Wajukuu wa Marehemu Omulangira Domician Kyai wakiendelea kuigiza 'OKUSILIBYA'enzi za maisha ya uhai wa Babu yao kutokana na mila na desturi
 Wajukuu wa Marehemu Omulangira Domician Kyai wakiendelea kuigiza 'OKUSILIBYA'enzi za maisha ya uhai wa Babu yao kutokana na mila na desturi
 Wakati wajukuu wakiingia Ukumbini
 Wanafamilia wakipata picha ya pamoja kwa ajili ya kumbukumbu
 Wanafamilia wakiongozwa na Fr .Medericus Kyaruzi wa Parokia ya Mugana  katika eneo la kaburi
  Katika picha anaonekana Honest Mushobozi,anaefuata ni Edwin Damacen na kulia kabisa ni Mdau Rutta Dasdery pamoja na wadau wengine
 Wadau katika picha ya pamoja
 Huko jikoni nako mambo si haba....!
 Katika picha anaonekana Mulangira Justuce na kipandio chake aina ya 'Land cruiser Prado' akiwasili kushiriki shughuli ya Matanga ya mpendwa wake Marehemu Omulangira Domician Kyai
 Tukio pichani mkubwa Justuce Lugaibula akipata mvinyo 
Next Post Previous Post
Bukobawadau