Bukobawadau

MWILI WA MARIADINA KASHONDA WAWASILI MJINI BUKOBA,MAZISHI YATAFANYA LEO JUNE 29

Jeneza lenye Mwili wa Bi Mariadina Kashoda Ukiwasili Mjini hapa na kusafirishwa nyumbani kwake Kijijini Nyabutaizi, Bwera, wilaya ya Misenyi kwa shughuli ya Ibada ya mazishi itakayofanyika leo Jumatano June 29 saa 8 Mchana 
 Baadhi ya wafiwa na waombolezaji mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege Mjini Bukoba
 Nje ya kanisa la Buyango
 Bwana Fidelis Bashasha
 Mkurugenzi wa “Mkombozi Commercial Bank"Bi. Edwina Lupembe kushoto na Meneja wa Mkombozi Bank tawi la Bukoba pichani kulia
Bwana Shiza  akibadilishana mawzo na Bwana Christopher Chichi
Nyumbani Kijijini
 Mdau Maginus pichani aliyeondokewa na Mke wa Mjomba wake
R.I.P Bibi Mariadina Kashoda!!Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe!
Marukio ya mazishi yatakufikia Usiku wa leo hapahapa #Bukobawadau 
Next Post Previous Post
Bukobawadau