Bukobawadau

SHUGHULI YA MATANGA YA 'OMLANGIRA' SIMON BENEDICTOR KYARUZI

Pata muendelezo wa matukio ya picha yaliyojiri katika Shughuli ya matanga ,mwaka mmoja baada ya kifo cha Marehemu Omlangira Simon Benedictor wa Buhembe Manispaa Bukoba.
 Mwanzo wa Misa maalum ya kumuombea marehemu mpendwa wetu Omlangira Benedictor Kyaruzi aliyetutoa tarehe 9 June 2015 na mazishi yake yalifanyika tarehe 12 June ,2015 na leo tunamuombea Mwenyenzi MUNGU mwingi wa Rehema ampe pumziko la milele
 Misa ya kumuombea mpendwa wetu ikiendelea
 Marehemu  Omlangira Simon Benedictor pichani wakati wa Uhai wake

 Ndugu Edgar Kyaruzi kushoto na mama yake ambaye ni Mjane  Mama Regna Kyaruzi pichani.
  Fr.Medericus akiongoza Misa ya Matanga ya Marehemu mzee wetu Omlangira Simon Benedictor iliyofanyika Nyumbani kwake Buhembe Manispaa Bukoba.
 Waumini wakiendelea kushiriki Ibada ya kumuombea Marehemu Omlangira Simon Benedictor
 Ndugu Manus rafiki wa familia akipata komnio katika shughuli ya Ibada ya Matanga ya Marehemu Omlangira Simon Benedictor


 Utaratibu wa kupata komnio ukiendelea....
 Sehemu ya wanakwaya pichani walioshiriki shughuli hii
 Matukio zaidi ya Ibada na huduma ya Chakula yatakufia hapa hapa..!!
 Waumini wa Kikatoliki wakitoa sadaka
 Tukiwa eneo la kaburi kwa ajili ya kumuombea Marehemu Omlangira Simon Benedictor
 Fr .Medericus Kyaruzi wa Parokia ya Mugana akiongoza Misa hiyo eneo la kaburi
So sad!
 Mr & Mrs Edgar Kyaruzi wakielekea kuweka shada la maua
 Mr & Mrs Edgar Kyaruzi wakiweka shada la maua
 Machozi yakimtoka Mama yetu
 Kwa pamoja wakiweka shada la maua kwenye makaburi mengine ya wanafamilia
 Kaka James Kyaruzi mtoto wa maremehu akiweka shada la maua kwenye kabauri
 Bi Magreth Kyaruzi ambaye ni mtoto pekee wa Kike kati ya watoto watano wa kuzaliwa na Marehem Omlangira Simon Benedicto
 Anaonekana pichani Bi Magreth Kyaruzi akiweka shada la maua kwenye kaburi la baba yake.
Utaratibu wakati watoto wa Marehemu mbao ni James Kyaruzi, Edgar Kyaruzi, Edimund Kyaruzi, Magreth Kyaruzi na kwa niaba ya Rogders Kyaruzi aliyepo nchini Marekani,wakiweka mashada ya maua
 Timu nzima ya Bukobawadau Blog tunawapa pole wafiwa wote ,Mwenyezi Mungu awajaalie subira na sote atupe khatma njema!! 
 Matukio mbalimbali ya picha wanafamilia wakiwa eneo la kaburi
 Ratiba kuhusu kinachoendelea  iktolewa na Mdau Edmund Kyaruzi ambaye ni mtoto wa marehemu
 Sadaka za mwisho kwa ajili ya kumuombea mpendwa wetu 
 Mrs Edgar Kyaruzi pichani
 Mdau Edmund Kyaruzi
 Kwaniaba ya familia neno la shukrani linatoka kwa Bwana Edgar Kyaruzi
 Mama Regna Kyaruzi Mjane wa Marehemu
 Kwa hisia na  huzuni mkubwa anaonekana Ndugu Edgar wakati akitoa neno la shukrani
 
 Vyama vya kina mama vikimfariji mjane wa Marehemu

 Vyama mbalimbali vikiendelea kumzawadia Mjane
 Mama na mke wa mwanae wakiteta jambo
 Watoto wakifuatilia kinachojiri mahala hapa.

 Wakibadilishana mawazo baada ya mambo yote kwenda vyema kama ilivyopangwa
 Wadau mbalimbali katika hili na lile
 Mzee Baruti wa Nkango akiwa ameongozana na familia yake wakipata huduma ya Chakula
 Taswira mbalimbali huduma ya Msosi safi ikiendelea...
 Matukio wakati wadau walioshiriki shughuli hii wakipa Chakula
Picha maalumu kwa ajili ya kumbukumbu ya siku.
Kupata kumbukumbu ya shughuli ya Mazishi Gonga hapa >>Mazishi ya Omlangira Benedictor Kyaruzi
 Kujiunge na Ukurasa wetu wa facebook kupata matukio  >> BUKOBAWADAU MEDIA
Next Post Previous Post
Bukobawadau