Bukobawadau

TAARIFA YA KIFO CHA ROBBIN PHILIPO MASHURANO

Familia ya Mzee Philipo Mashurano wa Bwanjai-Kiziba, inasikitisha kutangaza kifo cha Kijana wao Robbin Philipo Mashurano, kilichotokea huko Njombe, mazishi yatafanyika siku ya Jumatatu Trh 6 Juni katika kijiji cha Buhekera-Bwanjai,saa 10 jioni
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema. Amina!
Next Post Previous Post
Bukobawadau