UMATI WASHIRIKI MAZISHI YA OMULANGIRA DAUDI MBONEKO KIJIJINI NYABIOKWO BWAJWAI


Sehemu ya wanakwaya wa Bethania wa Kanisa Kuu la KKKT mjini Bukoba


Endelea kuwa nasi mpaka mwisho wa Ukurasa huu kwa mtiriko mzima wa matukio ya picha 120



Mchungaji akitoa mahuburi ya maziko

Taswira mbalimbali kutoka msibani hapa ,Shughuli ya mazishi ya Omulangira Daudi Mboneko

Baadhi ya waombolezaji kama wanavyo onekana pichani Ibada ya maziko ikiendelea...



Ombolezaji wakiendelea kushiriki Ibada ya Maziko hayo iliyofanyika jioni ya Jana June 8,huko Kijijini Nyabiokwo-Bwanjai Wilayani Missenyi


Mr Mutayoba pichani kushoto na Dk Venus Mboneko pichani kulia

Mulangira Ben Kataruga pichani kushoto na Mdau Mutayoba rafiki wa familia hii

Umati wa watu kutoka maeneo mbalimbali waliohudhuria shughuli ya maziko hayp




Baadhi ya wanafamilia wakiendelea na shughuli ya Ibada ya maziko


Poleni Sana wafiwa Timu nzima ya Bukobawadau,tunaungana nanyi katika kipindi hiki kigumu



Watoto wa Marehemu Omulangira Daudi Mboneko wakitoa heshima zao za mwisho



Wakato Mulangira Ben Kataruga akitoa heshima zake za mwisho kwa mpendwa Baba yake mdogo



Mdau Jamal Kalumuna akitoa heshima zake za mwisho



Zoezi la kutoa heshima za mwisho kwa mpendwa wetu likiendelea


Watoto wa Marehemu wakiungana na waombolezaji kutoka heshima zao za mwisho


Mh. Phocas Diwani wa Kata ya Bwanjai Missenyi akitoa heshima zake za mwisho


Pole sana Frola kwa kuondokewa na Babu yako mpendwa

















Taswira kutoka eneo la kaburi.
Utaratibu wa wanafamilia kuweka mashada ukiendelea...
Hivi ndivyo ilivyokua safari ya mwisho wa Maisha ya Omulangira Daudi Mboneko
MWISHO wa enzi maisha ya Omulangira Daudi Mboneko!!
Bukobawadau Blog tunatoa pole kwa wale wote walioguswa na msiba huu!