WANACHAMA WA RWELU 80'S ASSOCIATION -DAR WALIPOMTEMBELEA NDG ALANUS KASHARABA !!


Wanakwambia Rwelu Never Die...!! kushoto pichani ni Ndugu Tom Mwela aliyetumia fursa hii kutoa hudhuru ya baadhi ya wanachama ambao awakuweza kuhudhuria kwa siku ya hiyo ambao ni Bi Aquilina Rugazia,Bi Jane Mujwahuzi,Mdau Daudi Kibogoyo, Munyaluganda Anthon Tibaijuka (Tbc),Julius Kagoro ,Dr Muganyizi na wengine kadhaa na pia wanatoa nafasi kwa wanachama Wapya

Baadhi ya wanachama wa Rwelu 80,S Association walioweza kufika nyumbani kwa Bwana Kasharaba kutoka pichani kushoto ni Mdau Geofrey Kibogoyo (Mabibo Beer) akifuatiwa na Emilius Katanyebile (Owaibanga Kamachumu),Mwenyekiti wa Umoja huu ndugu John Kagoro,katikati ni Bi Frola Petro,wengine ni John Rwabigene (Katibu),Malick Kagasheki na mwisho kabisa kulia ni Mr &Mrs Alanus Kashalaba.

Pichani wanaonekana watoto wa kuzaliwa na Mr & Mrs Alanus Kasharaba, kushoto ndiye mtoto mdogo wa kike kwa jina ni Alvina akifurahi na Kaka yake Alvin Kasharaba


Wakati huduma ya Chakula ikiendelea.
Anaonekana Mrs Alanus (Mama Alvin ) akifurahia jambo !!
ENDELEA KUFURAHI BUKOBAWADAU ...!