Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa mara
baada ya kuwasili makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akijiandaa
kuongea na sekretarieti ya CCM kwa mara ya kwanza katika makuu ya chama
hicho mjini Dodoma leo
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongea na wafanyakazi wa makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma Jana
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Waziri Mkuu
Ndg. Kassim Majaliwa katika picha ya pamoja na Secretarieti ya CCM
makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma Jana
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Waziri Mkuu
Ndg. Kassim Majaliwa katika picha ya pamoja na Sekretarieti ya CCm na
wafanyakazi wa makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma Jana
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiaga baada ya
kupata picha ya pamoja na Sekretarieti ya CCm na wafanyakazi wa makao
makuu ya chama hicho mjini Dodoma Jana
PICHA NA IKULU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comment:
Post a Comment