Bukobawadau

BALOZI DR.KAMALA AENDELEA NA ZIARA YAKE KATIKA KATA YA KITOBO AUG 16,2016

Balozi Dr.Diodorus Buberwa Kamala Mbunge wa Jimbo la Nkenge,mkoani Kagera ameendelea na ziara yake  leo Jumanne Aug 15 Katika kata ya Kitobo na kuongea na wananchi kwenye mkutano wake wa hadhara wenye lengo wa kujua kero mbalimbali na kuahidi kuzipatia ufumbuzi 
  Bwana Jommo Watae ambaye niAfisa Mipango wa Wilaya ya Missenyi akiwaelezea wananchi mipango mbalimbali ya kimaendelea na hatua zilipofikia ikiwa ni pamoja na maswala ya maji na barabara.

Wananchi wakiendelea kumsikiliza Mbunge wao , mtetezi wao Balozi Dr. Kamala
Balozi Dr.Diodorus Buberwa Kamala Mbunge wa Jimbo la Nkenge  akiendelea kuongea na wananchi wa Kata ya Kitoba
 Mbunge wa jimbo la Nkenge Balozi Dkt Diodorus Kamala akijibu changamoto za wakazi wa kijiji hicho amewahakikishia kuwa ataendelea kutatua kero zao mbalimbali zinazowakabili wanakijiji hao kwa kushirikiana nao.Kamala aliyasema hayo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kijijini hapo wakati akiwa kwenye ziara yake ya kuwatembelea wapiga kura wake jimboni kwake.
 Bi Devotha Deus Mwanahabari wa habari wa Fedeco Radio
 
 Akiongea na wananchi hao Balozi Dr.Kamala alisema kata ya Kitobo ina changamoto kubwa ya miundombinu ya barabara,afya na elimu na atafanya kazi kwa kushiriana na wananchi hao ili kuhakikisha changamoto hizo zinaisha.Alisema watendaji wengi hawafiki kijiji hapo kwaajili ya kutatua kero zao sababu ya miundombinu ya barabara,badala yake wengi wanaishia kijiji cha ng'ambo ,Balozi Kamala ameweza kuchangia mradi wa Kanisa na kukubali kuwa mlezi wa kwaya ya Kitobo.
 Mzee Kbandwa Rweyemamu akitoa kero yake kwa Mbunge.
 Bwana Elpidius Pankrasi bwana mifugo wa Kata ya Kitobo akitolea jambo ufafanuzi
 Wananchi wakiendelea kufuatilia kinachojiri .
 Wakazi wa kitobo wakiendelea kumsikiliza Mbunge wao
 Taswira mbalimbali mkutano ukiendelea..
Bw. Joansen Karokola Kata Katibu wa Mbunge wa Jimbo wa Nkenge akipitia makabrasha mbalimbali
 Diwani wa Kata ya Kitobo akitolea jambo ufafanuzi.
 Mwananchi akielezea kero yake kwa Mbunge wake
 Mzee Kabandwa Rweyemamu wakati akielezea Kero yake kwa Mh. Mbunge Balozi Dr. Kamala
 Bw. Elpidius Pancrasi ambaye ni Bwana Mifugo katika katika ya Kitobo akimuelea Mbunge Balozi Dr. Kamala namna anavyotoa ushirikiano kwa wananchi ndani ya kata hiyo
 Pichani kushoto ni Bw. Daudi Buberwa Afisa Kilimo kata Kitobo
 Afisa Mipango wa Wilaya ya Missenyi akitolea jambo ufafanuzi katika mkutano huo
 Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala Mbunge wa Jimbo la Nkenge akipokea zawadi kutoka kwa Vikundi vya akinana wa Kata Kitobo baada ya kumaliza mkutano wake katika kata hiyo uliofanyika mapema ya leo Jumanne Aug 15
 Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamalaakiendelea kupokea zawadi kutoka kwa vikundi mbalimbali vya akinamama
 Muendelezo wa matukio ya picha wakati Mh Mbunge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala akipokea zawadi

 Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala Mbunge wa Jimbo la Nkenge akipokea zawadi kutoka kwa Vikundi vya akinana wa Kata Kitobo baada ya kumaliza mkutano wake katika kata hiyo uliofanyika mapema ya leo Jumanne Aug 15 na kuahidi kuyatekeleza yaliyomo katika Ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM
Katibu wa Wazazi Wilaya ya Missenyi Mama Rehema akiwa amebeba zawadi hizo mara baada ya kukabidhiwa, Mama Rehema ameongozana na Mh.Mbunge Balozi Dr. Kamala katika ziara hiyo
Next Post Previous Post
Bukobawadau