Kaimu Mnyikulu ambaye pia ni Naibu Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike
akimkabidhi funguo na nyaraka Bw. Thomas Kone (35) kwa ajili ya Bajaji
mpya ambayo amezawadiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli baada ya kumuona katika TBC1 akiwa anatafuta msaada
wa usafiri ili aweze kujikimu kimaisha na familia yake ya mke na watoto
wawili. Rais aliguswa na kijana huyu na kuamua kumsaidia kwani pamoja na
ulemavu wake ameendelea kuchapa kazi bila wasiwasi. Anayeshuhudia ni
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji TAnzania (TBC) Dkt Ayoub Rioba
ambaye mwanahabari wake Mbozi Katala ndiye aliyemtangaza bwana Kone
Kaimu Mnyikulu ambaye pia ni Naibu Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike
akimwangalia Bw. Thomas Kone (35) akipanda Bajaji
yake mpya ambayo amezawadiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli ambaye alimuona kwneye kipindi cha TV katika TBC1 akiwa anatafuta msaada
wa usafiri ili aweze kujikimu kimaisha na familia yake ya mke na watoto
wawili. Rais aliguswa na kijana huyu na kuamua kumsaidia kwani pamoja na
ulemavu wake ameendelea kuchapa kazi bila wasiwasi. Anayeshuhudia ni
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji TAnzania (TBC) Dkt Ayoub Rioba
ambaye mwanahabari wake Mbozi Katala ndiye aliyemtangaza bwana Kone
Kaimu Mnyikulu ambaye pia ni Naibu Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike
akimwangalia Bw. Thomas Kone (35) akiujaribu Bajaji

akitoa salamu za Rais kwa Bw. Thomas Kone (35) kuhusiana na Bajaji mpya
ambayo amezawadiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli ambaye alimuona kwneye kipindi cha TV katika TBC1
akiwa anatafuta msaada
wa usafiri ili aweze kujikimu kimaisha na familia yake ya mke na watoto
wawili. Rais aliguswa na kijana huyu na kuamua kumsaidia kwani pamoja na
ulemavu wake ameendelea kuchapa kazi bila wasiwasi. Anayeshuhudia ni
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji TAnzania (TBC) Dkt Ayoub Rioba
ambaye mwanahabari wake Mbozi Katala ndiye aliyemtangaza bwana Kone
Kaimu Mnyikulu ambaye pia ni Naibu Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike
akimpongeza mwnahabari Mbozi Katala alieandika na kutumia picha za Bw.
Thomas Kone (35) na kuopelekea kupata Bajaji
y mpya ambayo amezawadiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt.
John Pombe Magufuli ambaye alimuona kwneye kipindi cha TV katika TBC1
akiwa anatafuta msaada
wa usafiri ili aweze kujikimu kimaisha na familia yake ya mke na watoto
wawili. Rais aliguswa na kijana huyu na kuamua kumsaidia kwani pamoja na
ulemavu wake ameendelea kuchapa kazi bila wasiwasi. Anayeshuhudia ni
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji TAnzania (TBC) Dkt Ayoub Rioba
na wafanyakazi wa TBC ambao mwanahabari wao Mbozi Katala ndiye
aliyemtangaza bwana Kone
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comment:
Post a Comment