R.I.P Diwani msitaafu kata Kanyiko Bi Esther Joseph Rwegasira.
Kifo kimetokea alfajiri yatarehe 27 Aug huko nchini India alipokuwa anapatiwa matibu.
Mwili wake umewasili Jijini Dar Jioni ya leo Jumanne Aug 30 ,mwili wa
Marehemu Bi ESther utalala katika hospitali ya Lugalo mpaka siku ya
kesho Jumatano itakapofanyika Ibada maalum (last respects ) katika
kanisa la St.Peters church Jijini Dar na kufatiwa na Safari ya kuelekea
Bukoba .
Mwili wa Marehemu Bi Esther Rwegasira utawasili
siku ya Alhamisi Saa 7:30 mchana katika Uwanja wa Ndege Mjini Bukoba na
mazishi yatafanyika siku ya Ijumaa Tarehe 2 Aug Nyumbani kwake Kijijini
Kanyigo.
#Bukobawadau Media tunatoa pole kwa wafiwa wote!
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comment:
Post a Comment