Bukobawadau

MAISHA BAADA YA #TETEMEKOBUKOBA

 Maoni ya Wadau kuhusu #TetemekoBukoba ni kupaza sauti kwa pamoja juu ya exemption ya mkoa wa kagera kwenye kodi ya vifaa vya ujenzi,Serikali itamke kuwa building materials zitakazo uzwa kagera ni tax free
 Kwa hali hii tukiweza kuewa grace period ya mwaka ama miwili vifaa vyote vya ujenzi visiwe na kodi. Serikali ilipe jukumu jeshi letu lifungue duka kubwa bukoba liuze hivyo vifaa at discounted rate ili watu wengi waweze kujenga upya nyumba zao. Kwa hali ya kiuchumi ilivyo mbaya wachache wataweza kurecover kwenye hali zao za awali maana building materials ni expensive kwa mkoa mzima wa kagera
Picha mbalimbali Jumapili ya leo Sep 18 Mitaa ya Hamugembe Bukoba
Bukobawadau tunaendelea kukusogezea matukio ya picha upate kujionea mwenyewe athari za tetemeko ardhi
 Usiku na Mchana hii ndiyo hali halisi ya Wakazi wa Hamugembe na maeneo mengineyo
Kilio kikubwa walichonacho mpaka sasa ni msaada wa aina yoyote.
 Bwana Abdul Galiatano (Mzee wa Tecno) alipoitembelea nyumba yake iliyopo Rwamisheji kujione athari iliyojitokeza kufuatea #TetemekoBukoba
Nyumbani ya Bwana Abdul ikiwa hoi kufuatia tetemeko la ardhi.
 Mitaa ya Kitendaguro nako hali si shwari
Nyumba ya mdau ikiwa imepata nyufa tokana na tetemeko hilo

 Mzee mkazi ya Kata ya Hamugembe anaonekana kama kapoteza matumaini
 Kwa upande mwingine maisha yakiendelea ...
 Majengo mbalimbali ya Hamugembe Bukoba wakiwa hoi.
 Maisha ya Mkazi wa Kitendaguu mara baada ya msaada wa awali kumfikia
Maisha ya Mwananchi baada ya Msaada
Next Post Previous Post
Bukobawadau