23 September 2016
WAHUKUMIWA MAISHA KWA UCHOMAJI WA MAKANISA MKOANI KAGERA
Mahakama ya hakimu mkazi Bukoba imewatia hatiani na kuwahukumu kwenda
jera kutumia kifungo cha maisha watu watatu ambao ni pamoja na Ngesella
Joseph, Rashid Mzee na Ali Dauda waliokuwa na tuhuma ya kuhusika na
vitendo vilivyokuwa vimekithiri mkoani Kagera mwaka jana vya uchomaji wa
makanisa ya madhehebu ya kikristo katika maeneo mbali ya mkoa huo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comment:
waya samehe maana hayajui yatendalo,yaoneeeh
Sawa wapewe adhabu kali iwe fundisho kwa wengine kwasababu haina maana kama wewe ni muislam uende kuchoma kanisa au wewe ni mkrist uchome muskiti dini zote sawa lazima uheshim dini ya mwenzako.
Post a Comment