Bukobawadau

IBADA YA KUMBUKUMBU MWAKA MMOJA KIFO CHA MZEE ASIEL EVALIST KAREGA

Matukio ya picha yaliyojiri katika Ibada ya kumbukumbu mwaka mmoja kifo cha Mzee Asiel Karega iliyofanyika Siku ya Jana Jumapili Oct 30,2016 Nyumbani Kwake Mafungo Bukoba Mjini
 Mchungaji mara baada ya kuweka Shada la Maua
 Mtoto Alex Asiel akitoa Sadaka wakati wa Ibada maalum ya kifo cha mpendwa mzee wake
Ibada maalum ya kumbukumbu kifo cha Marehemu Mzee Asiel ikiendelea
Eneo la kaburi shughuli ya Ibada ikiendelea
 Baadhi ya marafiki wa Karibu na Marehemu mzee Asiel Karega wakiwa wameweza kujitokeza kushiriki Ibada ya kumbukumbu mwaka mmoja  toka kifo chake
Baadhi ya wanafamilia wakiendelea kushiriki Ibada




 Fr kutoka nchini Uganda akitoa neno






 Baadhi ya wadau walioweza kushiriki Ibada hiyo, iliyofanyika Kahororo nyumbani kwa Marehemu Mzee Asiel Evalist Karega


 Shada la maua kwa niaba ya majirani na marafiki wa Mzee Asiel Karega
 Shemeji wa Marehemu Mzee Asiel Kareha wakati akiwa tayari kuweka kumbukumbu ya Shada la maua
 Ndugu wa Mjana wa Mzee Asiel akielekea kuweka shada la maua


 Sehemu ya wanakwaya
 Rafiki wa Karibu wa Marehemu Mzee Asiel akitoa nasaha zake.
 Mama akiendelea kutoa mkono wa Shukrani kwa Wageni wote waliohudhuria shughuli hiyo

 Mh. Anathory Amani ,rafiki wa karibu wa Marehemu Mzee Asiel Karega akitolea jambo ufafanuzi
 Machozi yakimtoka binti mkubwa wa Marehemu Mzee Asiel Karega
 Burudani ikiendelea...
 Kikundi cha vijana kilichohusika kutoa burudani
 Mdogo wa Marehemu Mzee Asiel pichani kushoto
 Taswira mbalimbali wakati shughuli ya Ibada Ikiendelea
 Kaka wa Mjane akitoa neno na nasaha kwa familia ya marehemu Mzee Asiel ikiwa ni tukio la kuanua matanga
 Wadau wakibadilishana mawazo.
Binti Asiel, Alisia Mutesi pichani
 Mdau pichani akiwasili eneo la tukio kushiriki na wageni wengine

 Mama Mjane wa Marehemu Mzee Asiel Karega
 Mmoja kati ya watoto wa kuzaliwa  na Marehemu Mzee Asiel
 Mh. Matete akitoa mkono wa pole kumfariji Mjane wa Marehemu Mzee Asiel Karega
 Alisia Mutesi  Asiel, ambaye ni Binti wa kuzaliwa na Marehemu mzee Asiel Karega akitolea jambo ufafanuzi wa Babu yake
Muendelezo wa matukio ya picha yaliyojiri
 Kwaya ya Vijana ikitumbuika katika shughuli hiyo iliyofanyika jana Jumapili Oct 30,2016
 Wanakwaya wa Vijana wakiwajibika

 Wadau mbalimbali wakitoa mkono wa pole kwa Mama Mjane wa Marehemu Mzee Asiel Karega


Sehemu ya waalikwa wakiteta jambo
 Wanandugu katika picha ya pamoja
 Mtu na dada yake katika picha maalum kwa ajili ya kumbukumbu
 Wanafamilia wakibadilishana mawazo
 Mama Mjane wa marehemu Mzee Asiel Karega pichani
Next Post Previous Post
Bukobawadau