Bukobawadau

MAKAMU WA RAIS MAMA SULUHU AWEKA JIWE LA MSINGI WODI ZA WAZAZI HOSPITALI ZA RUFAA MKOA WA DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye hafla ya Uwekaji mawe ya msingi ujenzi wa wodi za wazazi na watoto katika Hospitali za Rufaa za Mkoa wa Dar es Salaam leo Oktoba 11, 2016. Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.
Next Post Previous Post
Bukobawadau