Bukobawadau

TAARIFA YA KIFO CHA BI LOYCE KATARAIA

Ndugu Daniel Felix Kataraia anatangaza kifo cha mke wake Loyce Kataraia kilichotokea tarehe 13/10/16 kwa ajali ya gari maeneo Nanga-Igunga
Shughuli ya mazishi inatalajiwa kufanyika siku ya Jumatatu tarehe17/10/16 kijijini Nyatai Gera majira ya saa Sita mchana,Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki popote pale walipo.
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe Amen!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau