Bukobawadau

UMATI WA WATU WAMZIKA CLIFORD LUANGISA

Umati wa waombolezaji wajitokeza kumzika Criford Luangisa aliyefariki dunia Oct 15,2016 katika hospitali ya Mkoa Kagera,Shughuli ya maziko yake inatalajiwa kufanyika Mchana wa Jumanne Oct 18 majira ya saa 9 Nyumbani kwa Mzee wake Kijijini Kitendaguro Bukoba.
Sehemu ya wanafamilia wakiendelea kushiriki Ibada ya mazishi


 Ndugu Al Masoud Kalumuna akichukua matukio kwa ajili ya kumbukumbu


 Dada Passycazia Barongo katika hali ya huzini kwa kuondokewa na Causin wake,rafiki yake mkubwa
 Msemaji wa Chuo cha Ualimu ERA kilichopo kitendaguro Bukoba akitoa neno
 Baadhi ya waombolezaji
 Mchungaji akiweka Shada ya Maua kwenye kaburi la Cliford Luangisa
 Shada kwa niaba ya wakwe wa familia ya Marehemu Mzee Luangisa likiwekwa na Majid Kichwabuta


 Dada wa Marehemu wakiweka shada kwa pamoja
Mti maalum ukipandwa kama Ishara ya kumbukumbu kufuatia Marehemu kutokuacha uzao wake,marehemu hakuacha mtoto
Dada Pasycazia akipanda mti maalum kwa ajili ya kumbukumbu


Zoezi la kuweka mashada ya maua likiendelea
 Mwisho wa Ibada ya Maziko
Next Post Previous Post
Bukobawadau