Shule ya msingi Byamutemba iliyoko kata Nsunga Wilayani Missenyi
imefungwa na mkuu wa Wilaya kwa muda wa wiki tatu baada ya vyumba sita
vya madarasa kuezuliwa kufuatia mvua kubwa iliyonyesha ikiambatana na upepo mkali leo Oct 17,2016 ,Wanafunzi 14 wamejeruhiwa na
Wengine wamelazwa Katika Zahanati ya Igayaza
Akidhibitisha kutokea
kwa tukio hulo,Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Luteni kanali Denisi Mwilla
amesema mvua hiyo ilionyesha a imenyesha leo majira ya saa sita na
dakika 25 mchana imeezua Ofisi ya walimu na nyumbamoja ya walimu shuleni
hapo ,Makanisa mawili ya Kipentekoste,Jengo la Soko pamoja na nyumba
mbili za wananchi
Jengo la Shule liliezuliwa kufuatia mvua kubwa iliyonyesha ikiambatana na upepo mkali.
Bango la Shule ya Msingi
Jengo la Darasa lililo ezuliwa na Upepo mkali kufuatia mvua kubwa iliyo nyesha maeneo ya Missenyi hii leo
Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Luteni kanali Denisi Mwilla akikagua paa za Jengo la Soko lililoezuliwa na Upepo
Mmoja wa wanafunzi aliyejeruhiwa katika tukio hilo
Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya msingi Byamutemba iliyoko kata Nsunga Wilayani Missenyi wakiendelea kupata matibabu
Hili ni Janga jingine!!anakagera TUENDELEE KUMUOMBA MUNGU!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comment:
Post a Comment