Bukobawadau

KATIKA KUSHEREKEA MAULID HAPO KESHO

Assalaam Aleykum ndugu msomaji!!
Jumuiya ya waislam wa Kamachumu waishio Dar es Salaam, wanakualika kwenye sherehe ya Maulid ya mwaka mpya wa Kiislam itakayofanyika kesho Tarehe 13/11/2016 kuanzia saa nne asubuhi eneo la Mashujaa B viwanja vya Mnazi mmoja Jijini Dar Es salaam ikiwa pia ni kusherehekea mwaka mmoja wa Jumuiya hiyo
Kwa pamoja unakaribishwa kuungana na waumini wengine.
Ukipata taarifa hii mjulishe na mwenzako Inshallah !!
Imetolewa Na: Ibrahim Bukenya- Katibu wa
Next Post Previous Post
Bukobawadau