SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

26 November 2016

RAIS MAGUFULI AWATUNUKU KAMISHENI MAAFISA WAPYA 194


Bendi ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ) likiingia uwanjani wakati wa sherehe za kutunuku Maafisa 194 wa Jeshi hilo katika viwanja vya Ikulu leo Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishiriki kuimba wimbo wa Taifa wakati wa sherehe za kutunuku kamisheni Maafisa 194 wa Jeshi hilo katika viwanja vya Ikulu leo Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride wakati wa sherehe za kutunuku Maafisa 194 wa Jeshi hilo katika viwanja vya Ikulu leo Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa zawadi kwa mmoja ya wanafunzi waliofanya vizuri katika kozi ya mafunzo wakati wa sherehe za kutunuku Maafisa 194 wa Jeshi hilo katika viwanja vya Ikulu leo Jijini Dar es Salaam.

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU