Bukobawadau

SHUGHULI YA MAZISHI YA KIHISTORIA YA ALHAJI ABDULMALICK KABYEMELA YAKIONGOZWA NA RC KIJUU YAHUDHULIWA NA MAMIA YA WATU

 Ndivyo wanavyo onekanaka baadhi ya watoto wa Marehemu Alhaji Abdulmalick Kabyemela na ndugu wa familia pichani wakiwa hawaamini kinachoendelea,ni wakati mgumu kwao ,machozi yanawatoka mbele ya Jeneza lenye mwili wa  Baba yao mpendwa  muda mchache kabla ya kumsalia na kumhifadhi,Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un !!
 Marehemu Mzee wetu Alhaji Abdulmalick Kabyemela pichani enzi za Uhai wake
 Shughuli ya mazishi ya Alhaji Abdulmalick Kabyemela imeongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu, Salum Kijuu pichani Kushoto na kuhudhuria na mamia ya waombolezaji kutoka maeneo mbalimbali nchini
 Bukobawadau BLOG tunakufikia matukio ya picha kwa mkutasari, Sehemu ya Video na maelezo ya picha (Caption ) yatakufikia baada
 Bwana Bashiru Kabyemela pichani wakati akiendelea Kushiriki Dua ya Baba yake Mdogo.
Waombolezaji wakisiliza nasaha kutoka kwa sheikh mkuu wa Mkoa Kagera
Sheikh Haruna Kichwabuta akitoa nasaha zake
Waumini wa  Kiislam wakishiriki Dua iliyofanyika mapema kabla ya mazishi
Mama Achi Hamis mmoja kati ya watoto 11 wa kuzaliwa na Marehemu mzee Abdulmalick Kabyemela
Waombolezaji mamia kwa mamia wakiwasili Maruku kushiriki shughuli ya maziko hayo
Eneo la maegesho
Bi Happy Katabazi
Familia ya mzee Galiatano wakiwasili kuwakilisha msibani hapo
Sehemu ya Watoto wa marehemu
Mama Farida pichani

Mzee Pius Ngeze akisalimiana na Mzee Katemana
Kijana Avith Kato akiteta naBwana Jamali na Haruna Goronga
Mdau Jamal JAMCO akiendelea na harakati zake msibani hapo
Taswira mbalimbali eneo la tukio
Taswira mbalimbali eneo la tukio
 Ni machungu yasioelezeka kwa wote waliofikwa na msiba huu
 Mdau Philbo na Bwana Sunday pichani

 Baadhi ya waombolezaji wakishiriki Dua ya kumuombea Marehemu mzee wetu

Shughuli ya Dua ikiendelea ,Tumuombee Mwenyezi mungu ampumzishe kwa amani mzee wetu
 Mdau Jerome Luhemalira pichani kulia akiwa ametoka jijini Dar kwa ajili ya kushiriki mazishi hayo.

Wadau picha  Ashraf Kazinja na Chichi Afiz Salum Al Saqyr
  Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu, Salum Kijuu akitoa mkono wa pole kwa kaka wa Marehemu
  Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu, Salum Kijuu akitoa mkono wa pole wa Bwana Rahym Kabyemela
 Rc Kijuu akikabidhi ubani kwa sheikh Mkuu wa Mkoa wa Kagera Sheikh Haruna Kichwabuta
 Wakati Mkuu wa Mkoa wa Kagera akitoa mkono wa pole kwa watoto wa kuzaliwa na Marehemu Mzee Alhaji Abdulmalick Kabyemela.
 Hakika watu ni wengi kweli kweli
 Bwana Matunda, Kagunduna na Mzee Cathbert Basibila wakati wa shughuli ya mazishi hayo.
Muongozaji wa Shughuli hii Yunus Kabyemela akiwajibika
 Masheikh kutoka maeneo mbalimbali Mkoani Kagera wameshiriki mazishi hayo yaliofanyika Nyumbani kwake kijijini Kanyangeleko Maruku Bukoba.

Baadhi ya wanafamilia upande wa wanawake
 Sehemu ya waombolezaji walioweza kushiriki mazishi ya Mzee Alhaji Andumalick Kabyemela
 Mamia ya wananchi wake kwa waume wamewe kuhudhuria mazishi ya  Alhaji Abdulmalick Kabyemela
 Salaam za rambirambi kwa familia kutoka kwa wafanyakazi wa KCU (1990) Ltd zikitolewa na Bwana Lutakwa
Sheikh Idrisa akitoa Salaam za rambirambi zilizoambatana na Ubani kutoka kwa Mzee wetu Haji Abbakari Galiatano

 Shughuli ya maziko ya Mzee wetu ,Alhaji Abdulmalick Kabyemela imefanyika mchana wa Leo Nov 29,majira ya Saa 8:30 Nyumbani kwake kijijini Kanyangeleko Maruku Bukoba.
Jeneza lenye Mwili wa Mpendwa wetu Alhaji Abdulmalick Kabyemela likiingizwa kaburini
 Sheikh Haruna Kichwabuta ,Sheikh wa Mkoa wa Kagera akiweka Udongo kwenye Kaburi la
 Mkuu wa Mkoa Kagera Mhe. Kijuu akiweka Udongo kwenye Kaburi
 Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu, Salum Kijuu akishiriki kuweka udongo kaburini
 Bwana Rahym Kabyemela akiweka Udongo kwenye kaburi la Baba yake Mzazi


Eneo la Kaburi wadau wakishiriki kuweka udongo

Mdau Salum Mawingo pichani na wadau wengine wakiwa katika eneo la Kaburi kumsitili mzee wetu
Shughuli ya mazishi ikiendelea
 Endelea kuwa nasi kwa mtiririko mzuri wa matukio ya picha na maelezo ya kina....
 Kutoka kushoto ni Bw. Mwamsonjo, Kijana Soma na Mpambanaji Roben Sunday (mwili mpana)

 Mzee Balekao na Mzee Haruna Mugura ambao ni marafiki wakaribu wa familia ya Marehemu Alhaji Abdumalick Kabyemela
 Mh. Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini 'Lwakis akibadilishana mawazo na baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Bukoba
 Adv. Ishengoma akisalimiana na Bw. Jerome ,pichani kushoto ni Mdau Ishengoma Bilikwija
 Kushoto ni Mwanadada Sarah Said
 Mdau Subira Selemani Kabyemela pichani
 Sheikh Athmani pichani kulia wakati wa Utambulisho
 Wakati Sheikh Haruna akitoa utambulisho kwa viongozi wa Dini waandamini Mkoani Kagera
 Taswira eneo la maegesho mara baada yashughuli ya mazishi
Bwana Leo leo na Ruge  Masabala pichani
Jamal Karumuna na Bwana Haruna
Mwisho
Next Post Previous Post
Bukobawadau