Bukobawadau

Soka la Bukoba Kukosa Uzalendo kunachangiwa na Mambo Mengi.

Pichani wanaonekana Mashabiki wa Timu ya Mbeya City.
Soka la Bukoba Kukosa uzalendo kunachangiwa na mambo mengi.....hakuna vichocheo.
kuna mambo mengi yanatakiwa kuangaliwa mfano ni rahisi kupata jezi ya Brazil kuliko ya Kagera Sugar, sasa hapo unategemea nini??
Madau Mubelwa Bandio muda mchache katika mjadala katuma ujumbe ukisema ;Nilipokuja Bukoba nilisaka jezi za Kagera Sugar ili kuja nazo huku, sikupata.
Labda wenyeji wangu ndio hawajui zilipo.
Sasa naomba msaada kujua...
Jezi zenye NEMBO ya Kagera Sugar (kama zipo) zinapatikana wapi?
Na kwa bei gani?
#Bukobawadau
Next Post Previous Post
Bukobawadau