Bukobawadau

WAZIRI NAPE NNAUYE APOKEA VIFAA MBALIMBALI VYA MICHEZO TOKA KAMPUNI YA STAR TIMES TANZANIA LIMITED.


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (aliyekaa katikati mbele) akiongea na Waandishi wa habari wakati wa hafla ya kupokea vifaa vya michezo toka Kampuni ya Star Times Tanzania Limited leo 9 November, 2016 katika ukumbi wa Wizara Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo Bw. Leo.


Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Star Times Tanzania Bw. Leo (kushoto) akiongea na Waandishi wa habari wakati wa hafla ya kupokea vifaa vya michezo toka Kampuni yao ya Star Times Tanzania Limited leo 9 November, 2016 katika ukumbi wa Wizara 
Jijini Dar es Salaam. 

Mkurugenzi wa Mauzo wa Kampuni ya Star Times Tanzania Limited Bw. Juma Mchina Sharobaro (kushoto) akiongea na Waandishi wa habari wakati wa hafla ya kupokea vifaa vya michezo toka Kampuni yao ya Star Times Tanzania leo 9 November, 2016 katika ukumbi wa Wizara Jijini Dar es Salaam. 


Next Post Previous Post
Bukobawadau