SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

06 December 2016

BLOGGERS TANZANIA WAPEWA MAFUNZO YA NAMNA BORA YA UENDESHAJI WA MITANDAO YA KIJAMII

Mwenyekiti wa muda wa mitandao ya Kijamii Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim Mushi(aliyesimama)  akimkaribisha mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Idara ya Habari  MAELEZO, Dkt.Hassan Abbas  wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Tanzania Bloggers Network(TBN) uliofanyika katika ukumbi wa PSPF jijini Dar leo.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, Dk. Hassan Abbas (wa pili kulia) akizungumza wakati wa kufungua mkutano mkuu wa siku mbili wa Tanzania Bloggers Network (TBN) uliofanyika katika ukumbi wa PSPF jijini Dar,pichani kulia ni Kaimu Meneja Mwandamizi kutoka benki ya NMB,Stephen Adili.
Baadhi ya Wamiliki wa mitandao wakifuatili kinacho endelea.


 Wakati Mkutano mkuu wa siku mbili wa Tanzania Bloggers Network (TBN) uliofanyika katika ukumbi wa PSPF jijini Dar,pichani kulia ni Kaimu Meneja Mwandamizi kutoka benki ya NMB,Stephen Adili.
 Blogger Mc Baraka akiwa ameungana na wenzake waliohudhuria  mkutano huo uliofanyika Jijini Dar Dec 5-6,2o16
 Taswira mbalimbali ukumbini wakati mkutano ukiendeleaMkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, Dk. Hassan Abbas (wa pili kulia) akizungumza wakati wa kufungua mkutano mkuu wa siku mbili wa Tanzania Bloggers Network (TBN) uliofanyika katika ukumbi wa PSPF jijini Dar,pichani kulia ni Kaimu Meneja Mwandamizi kutoka benki ya NMB,Stephen Adili.
Mwenyekiti wa muda wa mitandao ya Kijamii Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim Mushi(aliyesimama)  akimkaribisha mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Idara ya Habari  MAELEZO, Dkt.Hassan Abbas  wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Tanzania Bloggers Network(TBN) uliofanyika katika ukumbi wa PSPF jijini Dar leo.


Baadhi ya Bloggers wakiwa kwenye mkutano wao unaoendelea hivi sasa.

1 comment:

Ally Msangi said...

Kaka hongera kwa kazi nzuri na mabadiliko ya Bukoba wadau kuwa ya kisasa zaidi. Naon safari ya dar imezaa mafanikio zaidi. Big up sana.. tutarajie mabadiliko ya tovuti kuwa na mfumo wa kisasa pia.

All in all, Good work

Tuwasiliane ukirudi Bukoba.

Cheers,
Ally M
www.allymsangi.com

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU