Bukobawadau

(VIDEO ) MAREKANI YARIDHISHWA NA TANZANIA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA UENDESHAJI WA SERIKALI KWA UWAZI (TANZANIA YARIDHISHWA STATES AND ACTION PLAN FOR OPEN GOVERNMENT MANAGEMENT)


 INTROS Mkurugenzi wa mapinduzi ya takwimu kwa maendeleo kutoka nchini marekani Dkt. Paul Zeitz ameipongeza serikali ya Tanzania kwa jitihada zake katika kuetekeleza kwa vitendo mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi (OGP). Akizungumza wakati wa Mkutano wa Mpango wa Uendeshaji wa Serikali kwa Uwazi (OGP) uliofanyika Jijini Paris Nchini Ufaransa Dkt. Paul amesema kuwa marekani inatambua jitihada zinazofanywa na viogonzi wa serikali katika kutekeleza mpango huo hasa katika sekta za Elimu, Maji na Afya.
Next Post Previous Post
Bukobawadau