Bukobawadau

IBADA YA KUMBUKUMBU YA MWAKA MMOJA YA OMWANA MARIA VERDIANA MBONEKO (GERA)

Matukio ya picha yaliyojiri Mwishoni mwa juma wakati familia ya Marehemu Omwana Verdiana Maria Mboneko wa Rwamishenye Bukoba,walipo unguna na marafiki wa familia kushiriki nao kwenye misa ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu kifo cha mzazi wao mpendwa wao Omwana Verdiana Maria Mboneko, Misa iliyo ongozwa na Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini tarehe 07.01.2017 nyumbani Kwa Marehemu Kijijini Gera kuanzia 4 Asubuhi na baadae kufuatiwa na chakula cha mchana kama ilivyoandalia na familia.
 Askofu Methodius Kilaini,Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba akiendelea kuongoza Ibada ya Kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu kifo cha Marehemu Omwana Verdiana Maria Mboneko


 Sehemu ya pili ya neno la Bwana.
 Fr. Mashurano kutoka Chicago ,US akiwa katika kushiriki Shughuli ya Ibado hiyo.
Misa ikiongozwa na Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini ikiwa inaendelea, nyumbani Kwa Marehemu Kijijini Gera
 Baadhi ya Wajukuu wa Marehemu Omwana Maria Verdiana Mboneko wakiendelea na maombi katika misa ya shukrani iliyo ongozwa na Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba, Methodius Kilainia tarehe
Mama Bayona na Binti yake wakiendelea kushiriki Misa hiyo.
 Taswira eneo la tukio Ibada ikiendelea.
Baadhi ya Wadau wakishiriki Misa hiyo iliyo ongozwa na Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini tarehe 07.01.2017 nyumbani Kwa Marehemu Kijijini Gera.
 Waumini wakiendelea kushiriki Misa ya Kumbukumbu Mwaka mmoja Kifo cha Marehemu Omwana Verdiana Maria Mboneko.
Muda Muchache kabla ya Kutoa Sadaka.
Bwana Majid Kichwabuta akitoa heshima zake kwenye kaburi mara baada ya kutoa Sadaka yake
Wanafamilia wakiongozana kwa ajili ya kukabidhi Vipawa vyao
Muendelezo wa Matukio Ibada ya kumbukumbu Mwaka Mmoja Kifo cha Omwana Maria Mboneko.
 Wanafamilia wakitoa Vipawa vyao.
 Zoezi linaloendelea pichani, Wakati Wanafamilia wakitoa Vipawa vyao.
Wanakwaya wakiendelea kutumbuiza.
Mwanamama wa Kijijini Gera akicheck na Camera ya #Bukobawadau
 Wanafamilia wakiendelea na maombi katika misa ya shukrani iliyo ongozwa na Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba, Methodius Kilainia tarehe
Wakati Ibada ikiendelea, pichani ni baadhi ya Wajukuu katika familia hii.
Wakati Misa iliyo ongozwa na Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini ikiendelea.
 Ibada ikiendelea  kama inavyo onekana pichani
 Wanakwaya wakiendelea kuimba nyimbo za kuabudu na kumsifu bwana
 Sehemu ya wanakwaya wakiendelea kushiriki Shughuli ya Misa takatifu ya Mwaka Mmoja Kifo cha Marehemu Omwana Maria Verdiana Mboneko
Ma Sesilia  akipata komunio
Zoezi la kuweka Mashada ya Maua linaongozwa na Askofu Methodius Kilaini,Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba
Baba Askofu Methodius Kilaini,Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba akiweka Shada la Maua kwenye kaburi la Marehemu Omwana Maria Verdiana Mboneko
 Bi Regna Singh (Mama Singh) akikabidhiwa shada la maua kwa ajili ya kushiriki na zoezi linaloendelea pamoja na ndugu zake.
 Watoto wa Kike wakiongozwa na Dada yao  Regna Singh wakiweka Shada la Maua.
 Watoto wa Kiume wa kuzaliwa na Marehemu Omwana Maria Verdiana Mboneko wakiwa tayari kwa ajili ya kuweka shada la Maua katika Kaburi la Mpendwa Mama yao Mzazi.
 Kwa heri Mama, kwaheri Mzazi wetu, Pumzika kwa Amani...
Dr. Mboneko akiweka shada la Maua kwa Dada yake Mpendwa.
 Mlangira Mzee Lugaibula akiweka shada la Maua kwa niaba ya Wanaukoo.
 Mlangira Ben Kataruga akielikea kuweka shada la maua katika kaburi la marehemu Shangazi yake, Omwana Maria Verdiana Mboneko.
Apumzike kwa Amani Shangazi yetu, mzazi wetu mpendwa.
 Dr. Venus Mboneko akiweka Shada la Maua katika Kaburi la Mpendwa Shangazi yake
 Mara baada ya kuweka Shada la Maua, Dr Venus Mboneko pichani akimuombea pumziko Jema marehemu Shangazi yake Omwana Verdiana Mboneko
 Pichani baadhi ya Wajukuu wa Marehemu walioweza kushirika Ibada hiyo wakiweka Shada la Maua
 Wajukuu wa Marehemu wakitoa neno ,mara baada ya kuweka shada la Maua.
Hao ni Vitukuu wa marehemu Omwana Maria Verdiana Mboneko wakati wa kuweka shada la Maua.
Vitukuu wa marehemu Omwana Maria Verdiana Mboneko
 Mlangira Lugaibula katika hili na lile na Dr Venus Mboneko pichani kushoto.
 Baadhi ya Marafiki wa Mlangira Ben Kataruga wakibadilishana mawazo
 Kiongozi wa Kwaya ya BCC Mwalimu Mugango akitumbuiza Mbele ya wanafamilia waliokaa Meza Kuu.
 Mwalimu Mugango akiendelea kutumbuiza Wimbo wake maarufu wa 'Nani kama Mama'
 Dr. Mboneko katika picha ya pamoja na Omulangira Alikad
Wakati burudani mbalimbali zikiendelea kama utakavyojionea baada kupitia hapa hapa #Bukobawadau media
 Bi Grace Rwihula na Binti yake Mercy Datus Rwihuya walioweza kufika kijijini Gera kuungana ya Wanafamilia ya Mboneko katika kushiriki Misa takatifu ya kumbukumbu ya mwaka mmoja kifo cha Omwana Maria Verdiana Mboneko.
 Srhemu ya Wanachama wa Umoja wa Vijana wa 'Bukoba Mpya' walioweza kujumuika na familia hii
 Wadau wakiwasili kwa ajili ya kuungana na Mafimilia ya marehemu Omwana Maria Verdiana Mboneko kushiriki Ibada ya Kumbukumbu ya Mwaka Mmoja.
 Bwana Bitus akiongozana na Kaka yake Mh. Msafiri wakati wakiwasili kwa ajili ya kushiriki Ibada hiyo
 Matukio yanaendelea...
 Ma Sesilia Ezekiel pichani kushoto akibadilishana mawazo na Dr. Venus Mboneko


 Picha ya pamoja Wanafamilia wakiwa katika Kikao.
 Muendelezo wa Matukio ya picha mbalimbali kwa ajili ya Kumbukumbu.
 Matukio ya picha ya kumbukumbu yanafuata kwa Watoto wa Marehemu na wanafamilia.
 Muonekano wa Kaburi
 Mmoja wa Mshereheshaji mahiri anayekuja kwa kasi katika tasnia hiyo pichani.
MPAKA HAPA BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0768 397241
 Mlangira Kataruga na Kaka yake Dr. Mboneko katika picha ya kumbukumbu.Next Post Previous Post
Bukobawadau