Bukobawadau

KATIKA MISA YA KUMBUKUMBU YA FAMILIA YA ALFRED RWIHULA WA ILAMBIKA BUGANGUZI

Kamishna Mstaafu Alfred Tibaigana (kushoto)ambaye ndiye mlezi wa Familia ya Marehemu  Alfred Rwihula akiteta jambo na Bi Graye Rwihula Mtoto Mkubwa wa kuzaliwa katika familia ya Marehemu Alfred Rwihula wa Buganguzi Ilambika Wilayani Muleba.
 Fr. Modest Mutasingwa wa Parokia ya Rukindo Buganguzi akinyunyuzia maji ya baraka katika Makaburi.
 Mtoto wa Mwisho wa Marehemu Alfred Rwihula ,Raul Rwihulakatika picha ya kumbukumbu kwenye kaburi la Baba yake Mpendwa.
Paroko Modest Mutasingwa akiendelea kunyunyuzia Maji katika Makaburi ya Wazazi na Jamaa walitangulia mbele ya haki ikiwa leo ni Siku ya Ibada maalum ya Kumbukumbu.
 Muonekano wa Kaburi la Mama Mzazi na ndugu wa familia waliokwisha tangulia Mbele yake
Muonekano wa Kaburi la Mzazi wetu Mpendwa Alfred Rwihula
Tunashuhudia machozi yakiwatoka watoto na wanafamilia.
Ni Simanzi kubwa , huzuni na Sikitika kwa wanafamilia na watoto wote wa familia ya Marehemu Alfred Rwihula
 Pole sana Ndugu, Bukobawadau tunaungana nanyi kuwaomba Wazazi wetu Mwenye Mungu aendelee kuwalaza Mahala pema peponi
 Machozi yakimtoka Bwana Mwambi, kwa huzini mkubwa anaonekana Mkewe pichani wakati akisaidia kumfuta machozi hayo  na kumbeleza.
Bi Grace Rwihula akisali katika kaburi la Baba yake Mpendwa.
Daah!hakika ni Simanzi kubwa kuondokewa na Wazazi, Pole sana Bwana Mwambi poleni sana ndugu
 Mrs Nicko Rwihula akifanya kutweet kinachojiri katika shughuli hii...
 Eng. Datus Rwihula akisisitiza jambo kwa Mke wake Mpendwa Bibie Grace Rwihula.
Pichani ni Wanandugu katika picha ya pamoja
 Wanafamilia katika picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu
 Watoto wa Majirani wakifatilia kinachojiri.
 Familia ya Alfred Rwihula na wakwe zao katika picha maalum kwa ajili ya kumbukumbu
Eng. Datus Rwihula na familia yake pichani
Kushoto ni Bi Jane Rwihula akiwa na familia yake.
Mwalimu Lambart ambaye ni mmoja wa wanaukoo huu akifatilia kila kinachojiri hatua kwa hatua.
Familia ya Nicko Rwihula katika picha maalum kwa ajili ya kumbukumbu ya Siku hiyo Dec 28,2016.
 Kijana Deonice Datus Rwihula akiwajibika kwa kuchukua matukio
 Taswira eneo la Makaburi,Mungu azilaze Roho za Wapendwa wetu mahala pema peponi Milele Ameen!!
 Jane Rwihula na Mdogo wake Raul Rwihula pichani.
Mwanzo wa Matukio ya Ukumbini kwa ajili ya Ibada Maalum kwa ajili ya Kuwaombea wapendwa wetu waliotangulia mbele ya haki
 Muonekano wa baadhi ya Wanafamilia 
 Kutoka Parokia ya Rukindo yalipo makutano ama katikati ya Vijiji vya Kishanda na Buganguzi, tunapatwa kuongozwa na Paroko Modest Mutasingwa 
 Misa  ikiendelea ,pichana wanafamilia wakisikiliza mahubiri ya Baba Paroko Paroko Modest Mutasingwa wa Rukindo Buganguzi
 Idadi kubwa ya waalikwa wameweza kushiriki Misa hiyo
Fr Paroko Modest Mutasingwa akiendelea kutoa neno na kuwashukuru familia ya Alfred Rwihula kwa kuwakumbukawazazi wao

 Idadi ya Waumini wakiendelea kushiriki Misa hiyo
 Wanafamilia wakitoa Sadaka
 Utalatibu wa kutoa Sadaka ukiendelea
 Zoezi la kutoa Sadaka likiwa linaendelea
Muendelezo wa Matukio wakati wa Sadaka
Waumini wa Kikatoliki wakishiriki Ibada ya Misa takatifu ya kuwaombea familia
 Katikati ni Bwana Mwambi Rwihula mtoto mkubwa wa Kiume , wa pili kwa kuzaliwa katika familia ya Marehemu Alfred Rwihula akiendelea na Ibada.

Wanafamilia wakiungana na Waumini kutoka Maendeo mbalimbali walioweza kuhudhuria Ibada hiyo
Wanakwaya Wakiimba nyimbo za kuabudu na Kumsifia Mungu
Waumini wakiendelea kushiriki Ibada hiyo iliyofanyika Kijijini Ilambika Buganguzi Dec 28,2016.
Kiongozi wa Kwaya  akiwajibika.
Wakati wa Kokomunika kama anavyo onekana Bi Grace pichani
 Wakati wa Utambulisho kwa Wanafamilia na makundi mbalimbali
 Zoezi linaloendelea ni Utambulisho kwa Wanafamilia na makundi mbalimbali
 Utambulisho
 Utambulisho
 Machozi yakimtoka Mama Mlezi wakati wazoezi la Utambulisho
Mtu na mme wake pichani


Sehemu ya wanakwaya wakiendelea na Ibada, Dec 28,2016
Taswira mbalimbali eneo la tukio

 Mama wa ubatizo wa familia  ya Nicko Rwihula wakati wa utambulisho.
 Mama Junior, Mrs Mwambi Rwihula akisoma neno la Bwana kutoka katika 

 Wakati Fr. Modest Mutasingwa akiongoza Ibada hiyo
Mlezi wa familia hiyo Kamishna Mstaafu Alfred Tibaigana akitoa neno kwa niaba ya familia.
 Huduma ya Msosi safi ikiendelea kutolewa
 Waalikwa wakiendelea kupata huduma ya Chakula
Menu husika, minyama nyama ya kutosha.
Wanafamilia wakiendelea kupata Mulo na wadau waalikwa
Hii nayo Imooooo!
Watoto nao wakapa fursa ya kupata Kinywaji na Msosi maalum ulio andaliwa katika shughuli hii ya Ibada ya kumbukumbu ya familia ya Marehemu Alfred Rwihula iliyofanyika Siku ya Jumatano Dec 28,2016.
 Wakati huduma ya Chakula ikiendelea kutolewa kwa watu wote
BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0768 397241
Katika pozi ni Kijana Raul Rwihula (Mainuka) wa familia hii
Mbele ya Camera yetu tukiendelea kuangaza Sura za wadau mbalimbali Kijijini Bugandika
 Bibi Mlezi wa familia hiyo kutoka ukoo wa 'Abanyama' Ma Clementina.
Wadau katika hili na lile muda mchache kabla ya kupata huduma ya Chakula
 Muonekano wa Maandalizi ya Menu husika.
 Mzee Tibaigana akibadilishana Mawazo na Mr Chrles Peter Bushaija
Mwisho kabisa picha kulia anaonekana Mwanaukoo Bwana Elmesi Muhazi akiaga na Mr Charles Bushaija.
BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0768 397241


Next Post Previous Post
Bukobawadau