Bukobawadau

MRADI WA MAJI KATA KILIMILILE WILAYANI MISSENYI HATIMAE WAANZA KUTOA MAJI

Mkazi wa Kata Kilimilile akichota maji baada ya mradi wa kata Kilimilile kuanza kutoa maji. Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala ameshuhudia kuanza kazi kwa mradi huo na amewaomba wananchi kutunza mradi huo. Balozi Kamala anaendelea na ziara ya kukagua miradi ya maji Wilayani Missenyi.
Next Post Previous Post
Bukobawadau