Bukobawadau

MWENYEKITI WA CHADEMA ADIWA MBALONI

Jeshi la Polisi limemtia mbaroni Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na anapelekwa Kituo Kikuu(Central) cha Polisi jijini Dar. Siku ya Jumamosi Kamanda Simon Sirro alimpa kiongozi huyo muda wa saa 48 za kujisalimisha vinginevyo watamtafuta kwa njia wanazozijua wao. 
Next Post Previous Post
Bukobawadau