Bukobawadau

TANZIA KIFO CHA TWAHA (MSOKE ) YUNUS !

Tumepokea kwa Masikitiko taarifa za kifo cha Bw. Twaha Msoke aliyekuwa Meneja wa Lake Hotel,Kifo kimetokea muda mfupi tu usiku huu katika hospital ya Mkoa Kagera.
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un!!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau